Msaada: Naombeni mnifunze ku - multi Quote

Msaada: Naombeni mnifunze ku - multi Quote

Salute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes nifahamisheni hatua kwa hatua..
Cc.
Mwl.RCT
Otorong'ong'o

-Da'Vinci

Ni rahisi sana. Inatakiwa kugusa ile post unavyotaka kuiquote. Kama unatumia jf application ndio safi. Ukiigusa post inabadili rangi. Gusa zote unazotaka kuziquote. Pale juu kabisa utaona maandishi select 3,5,2 hizo namba ni post ulizogusa. Ukiselect zinajipanga hapo chini tayari kwa ajili ya kuandika.
Usijali utajuzwa tu""
Ndio sisi tushakuja. Ingawa nimechelewa sana.
Sio hv hua inakua post ndeeeefu hafu unaikata kata vipande kwa kumjibu mtu..
Jf intelligence ndo hutumika..
Maelezo nishatoa hapo juu. Ni rahisi sana.
Hii kitu nadhani ipo applicable kwa kutumia Browser, ngoja wajuzi waje watuelekeze
Hamna cha applicable wala nini. Mambo hayo hapo.
 
Ni rahisi sana. Inatakiwa kugusa ile post unavyotaka kuiquote. Kama unatumia jf application ndio safi. Ukiigusa post inabadili rangi. Gusa zote unazotaka kuziquote. Pale juu kabisa utaona maandishi select 3,5,2 hizo namba ni post ulizogusa. Ukiselect zinajipanga hapo chini tayari kwa ajili ya kuandika.Ndio sisi tushakuja. Ingawa nimechelewa sana.Maelezo nishatoa hapo juu. Ni rahisi sana.Hamna cha applicable wala nini. Mambo hayo hapo.
Maelezoo marefuu halafuu umekoseaa
 
App ya JF au mfumo wao unalizimisha mtu Kuwa script kiddie
 
Back
Top Bottom