theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Afanye kama wewe sasa kwenye Orijinal Post yake!.
Quote ionekane kama ilivyoonekana kwenye post yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afanye kama wewe sasa kwenye Orijinal Post yake!.
Quote ionekane kama ilivyoonekana kwenye post yangu
OKQuote ionekanehivi???kama ilivyoonekana kwenye post yangu
Ni rahisi sana. Inatakiwa kugusa ile post unavyotaka kuiquote. Kama unatumia jf application ndio safi. Ukiigusa post inabadili rangi. Gusa zote unazotaka kuziquote. Pale juu kabisa utaona maandishi select 3,5,2 hizo namba ni post ulizogusa. Ukiselect zinajipanga hapo chini tayari kwa ajili ya kuandika.Salute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes nifahamisheni hatua kwa hatua..
Cc.
Mwl.RCT
Otorong'ong'o
-Da'Vinci
Ndio sisi tushakuja. Ingawa nimechelewa sana.Usijali utajuzwa tu""
Maelezo nishatoa hapo juu. Ni rahisi sana.Sio hv hua inakua post ndeeeefu hafu unaikata kata vipande kwa kumjibu mtu..
Jf intelligence ndo hutumika..
Hamna cha applicable wala nini. Mambo hayo hapo.Hii kitu nadhani ipo applicable kwa kutumia Browser, ngoja wajuzi waje watuelekeze
Maelezoo marefuu halafuu umekoseaaNi rahisi sana. Inatakiwa kugusa ile post unavyotaka kuiquote. Kama unatumia jf application ndio safi. Ukiigusa post inabadili rangi. Gusa zote unazotaka kuziquote. Pale juu kabisa utaona maandishi select 3,5,2 hizo namba ni post ulizogusa. Ukiselect zinajipanga hapo chini tayari kwa ajili ya kuandika.Ndio sisi tushakuja. Ingawa nimechelewa sana.Maelezo nishatoa hapo juu. Ni rahisi sana.Hamna cha applicable wala nini. Mambo hayo hapo.
Ni kweli kwa App unaweza ila sio kama ulivyofanya wewe hapoHamna cha applicable wala nini
Ndio yapo kama hapa unavyoona kwenye hii quote yanguMambo hayo hapo
Najinukuu hadi mwenyewe
Like thisHapana,
I got it!Hapa inatakiwa uquote post moja ya mtu mmoja
now daysMkuu angalia hapo juu
this shitUmekosea kidogo
is easy as f#kHapo umeweza mkuu hongera
Hapo sawaLike this
I got it!