Kama ni kuquote uzi mrefu ili uujibu kwa aya zake!. Basi ukishauquote itakubidi ufanye kuweka;
mbele [qu ote]...........[/qu ote]
mwisho(usiruke nafasi lisomeke
QUOTE na
/QUOTE)
Hapo ukiwa umeyatenga maneno unavyotaka kuyaquote!.
YATATOKEA HIVI
Mfano hii habari chini
Davinci unataka kuquote uzi mrefu wenye aya kama 12 hivi na zote unataka uzijibu kwa vipengele. Da'Vinci ' Nenda kwenye hiyo website copy link yake then ukija JF ukitaka kuanzisha mada au changia mada itatokea picha kama hiyo juu. Hapo sasa Button za juu kabisa hiyo ya 9 ukiibonyeza itakuuliza kama unataka embed link Right click (hold) mpaka ilete option ya PASTE ikishatokea link uliokuwa umeicopy kwingine mchezo umeisha!.
Hata kama ni video ikiload itatokea JF!.
JINSI YA KUFANYA SASA
[qu ote]Davinci unataka kuquote uzi mrefu wenye aya kama 12 hivi na zote unataka uzijibu kwa vipengele.
[/qu ote]
1
[qu ote]Da'Vinci ' Nenda kwenye hiyo website copy link yake then ukija JF ukitaka kuanzisha mada au changia mada itatokea picha kama hiyo juu.
[/qu ote]
2
[qu ote]Hapo sasa Button za juu kabisa hiyo ya 9 ukiibonyeza itakuuliza kama unataka embed link Right click (hold) mpaka ilete option ya PASTE ikishatokea link uliokuwa umeicopy kwingine mchezo umeisha!.
[/qu ote]
3
[qu ote]Hata kama ni video ikiload itatokea JF!.
[/qu ote]
4
ITATOKEA HIVI
1
2
3
4
PS:
1, 2, 3 na 4 zimesimama kama hoja ulizotaka kuziongelea kwenye hiyo sentensi uliyoiquote!.
Natumai umeelewa!.