Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
nadhani una tatizo. yaani kwa wiki nzima unafanya mara 4 au 6 tu? the whole week? sijui kama umeoa. ila kama umeoa unalala nayo pembeni yako hapo, sisi wenzio usiku kabla ya kulala (1), amka na bbc asubuhi (2), approximately fanya kwa wiki moja umeamua kuahirisha siku mbili, unabaki na 5. 5 x 2 = 10. Wenzio tunafanya sio chini ya mara 10 kwa wiki. ndo maana tunasema vijana oeni ili muwe na chakula pembeni yenu all the time. yaani tunakuja tu kupumzika saana zile siku tatu au nne wakiwa period, nazo tunaona nyingi kwelikweli.Habari wataalam na wenye hekima,
Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki.
Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango cha manii kupungua na kuchukua mda mrefu kufikia mshindo, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu kwenye uume wangu.
Uwezo wa performance hauja pungua zaidi kuimarika tatizo linakuja sisikii raha tena nikiwa katika tendo, yaani sometimes naona ka sikufanya kitu kile nilichokitegemea sikukiskia kabisa.
Nimejaribu kubadilisha aina za wanawake wembamba kwa wanene wap!!!
Tafdhali msaada plz