Msaada: Napata hamu sana ya kujamiana kuliko raha ya tendo lenyewe

Habari wataalam na wenye hekima,

Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki.

Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango cha manii kupungua na kuchukua mda mrefu kufikia mshindo, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu kwenye uume wangu.

Uwezo wa performance hauja pungua zaidi kuimarika tatizo linakuja sisikii raha tena nikiwa katika tendo, yaani sometimes naona ka sikufanya kitu kile nilichokitegemea sikukiskia kabisa.

Nimejaribu kubadilisha aina za wanawake wembamba kwa wanene wap!

Tafdhali msaada plz
Fanya mazoezi na tafuta Hela kama umeajiriwa jiajiri hamu ya ngono itapungua pengine kuisha kabisa utakapo anza kufikiri namna ya kupanua biashara,Kupata hamu ya ngono ni uzembe wa akili kushindwa kuwaza kizazi chako unakiachia Nini.
 
Au akakope kwenye hizi Microfinance.....
 
Unataka tukushauri nini hapa?

Anyways kwa kukushauri cha muhimu kwa sasa ni hakikisha unakula vyakula vyenye protini na virutubisho, hakikisha unapata mazoezi ya kutosha na muda wa kupumzika.

Ukiweza kutusaidia kuandika wosia na labda kuchagua aina ya jeneza na sehemu ya mazishi tutashukuru sana maana combination ya kufanya mara 6 kwa wiki plus michubuko katika uume plus kubadilisha wanawake mara nyingi hii huzaa ngwengwe
Case closed
Comment yako imefunga mjadala 😊
 
Mzee we fanya kadri uwezavyo zingatia tu misosi ya kueleweka protini nyingiii then endelea na safe match, kama wapo wakukupa mara zote hizo we endelea tu muhimu Msosi maana utakua 1
 
, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu kwenye uume wangu.
Aisee hapo panaweza pelekea ukaja kosa hisia. Yaani dude linaweza kuwa kama mti tu.
Makovu ya muda mrefu yanapeleiea sense nerve za hapo kwenye uume kufa.
Na ndio maaana hupati hisia.
Sasa take tahadhari.
Kama una mwanamke ana mavuzi mengi yametapakaa eneo lake lote inachangia sana kukuchana sehemu yako na kukuletea makovu na maimivu.
Hali hio ikiendelea ukija vaa salama kwa mwanamke mwingine ngoma itagoma kuamka, hapo ndio tatizo la erect disfunction linapoanzia.
Kuwa makini sana na hayo makovu utapoteza kile mungu alichokupa.
In a long run utakuwa unapiga kimoja hurudii tena.
Aina nyingine ya michubuko sina majibu nayo madokta watakujibu ila hilo la juu nimefanyia utafiti mwenyewe na

Kuongezea kama unafanya kujichua acha, maana inachangia kuchubua uume.
 
Ahsante kwa ushauri naufanyia kazi mkuu
 
Mzee we fanya kadri uwezavyo zingatia tu misosi ya kueleweka protini nyingiii then endelea na safe match, kama wapo wakukupa mara zote hizo we endelea tu muhimu Msosi maana utakua 1
Huu ushauri si mzuri na hali hii hamna safe match
 
Fanya mazoezi na tafuta Hela kama umeajiriwa jiajiri hamu ya ngono itapungua pengine kuisha kabisa utakapo anza kufikiri namna ya kupanua biashara,Kupata hamu ya ngono ni uzembe wa akili kushindwa kuwaza kizazi chako unakiachia Nini.
Tofaut yangu nikiwa na changamoto ndo nawaka kinoma mpaka navurugwa... bile show akili haifanyi kaz yaan ni kama stimu ya kujiboost
 
Back
Top Bottom