Msaada: Napata hamu sana ya kujamiana kuliko raha ya tendo lenyewe

Ni dalili kubwa ya kuelekea kwenye uhanithi.....wahi hospitali.
 
Acha kutumia MKONGO unasababisha ganzi.
 
Andika vizuri nielewe basi
dopuline ni homoni ina tolewa na ubongo ili mtu ajiskie kiridhika na jambo fulani, neuron disorder inaweza pelekea kupungua kwa brain senstivity ya iyo homoni so unaeza fikia mshindo lakin ukaona mbona sio kama last time, sasa. vitamin B role yake kubwa inasaidia kurepair neurons nunua bcomplexes as supplement then kula yai moja asubuhi na jion kwa siku saba unywe maji mengi ulale 8 hours
 
Hapa nimekuelewa zaidi ahsante saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…