Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hapana bhna wengi wavivu miaka ile chuo ndio kilikuwa kinawatafytia wanafunzi chuo wake walemaza sana mpaka sasa watu hawatafutiNdugu yangu kama kwako ilikuwa rahisi usifikiri ni kwa wote. Kadiri miaka inavyozidi kwenda mbele ndo wasomi wanazidi kuwa wengi sana. Kwa miaka hii makampuni mengi yana vijana wanaojitolea kiasi kwamba kuwapokea wale wa field inakuwa mtihani sana.
field ngumu kupata mpaka uwe na connection au uombewe na chuo, tena wawahiHapana bhna wengi wavivu miaka ile chuo ndio kilikuwa kinawatafytia wanafunzi chuo wake walemaza sana mpaka sasa watu hawatafuti
Kwani jeiefu hakuna wazungu.Kama unaamua kutumia lugha moja tumia iyo iyo sio mchanganyiko mara English mara kiswahili unapoteza mvuto wa andiko lako
Mh mm sijawi ona usumbufu nikikupa cv yangu uangali sehemu nilizo fanya field zote nilipeleka mwenyewe mpaka kairuki pale walipiga simu majibu ya barua yako.teyar tarehe ya field mimi ndio nilikuwa nachagua nirepot wapfield ngumu kupata mpaka uwe na connection au uombewe na chuo, tena wawahi
Ahahah mimi English sijui kabisaKwani jeiefu hakuna wazungu.
Au ni wabongo tu
Are you serious your wife is a lesbianAhahah mimi English sijui kabisa
Hapanaa sijaoaAre you serious your wife is a lesbian
Wakuu habari za wakati huu,
Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa 2 hapa UDSM (UDBS)
Nimetembelea kampuni nyingi, nikikabidhi barua, lakini wapi. One trick naikuta kote, Unaambiwa kiupole tutakupigia = ndo nitolee, unajiongeza unapita kushoto.
Ila bado naamini kwamba kwa mwongozo wenu, ninaweza kukuza ujuzi unaohitajika ili kufanikiwa.
Kwa shukrani na uvumilivu usio na shaka,
Kijana wenu.
Simu. +255 733 139 827
barua pepe anatory.cfa@gmail.com
Umeelewaje hapo sasaHapanaa sijaoa
Ahahah sijui English effectively mkuuUmeelewaje hapo sasa
Usijali mkuu nilikuwa nakuchangamsha tuAhahah sijui English effectively mkuu.
Natambua mkuuUsijali mkuu nilikuwa nakuchangamsha tu
Nasoma Bcom Finance, ningependelea kufanya Retail Banking. But kiukweli niko open for ideasPole sana, naamini utapata muongozo;
Ila kwa kuwa sio wote wanaweza kuelewa kozi yako (UDBS) Nafikiri ungeongeza pia, unataka field ya upande gani au niseme Idara gani kwani naona ipo general
Unajua kwenye Kampuni hasa za Binafsi wapo very specific na wanapenda mtu anyooshe maneno...
Miaka ile ni lini? Mimi nimefanya field 2009 na nilichopewa na chuo ni barua tu ya kuombea nafasi. Nilipata kwa shida sana.. nakumbuka nilichelewa kwa mwezi mzjma kuanza. Leo miaka 14 baadae unadhani kuna mvurugano kiasi gani? Kumbuka kwa awamu ya 5 kuna kampuni kibao zilifungwa. Kimsingi hali ni mbaya. Pia kusema vijana ni wavivu unakosea.... kizazi cha zamani ndo kilijaa wavivu hadi kufikiri. Vijana wa zamani ndo waliingia mikataba ya hovyo inayotuumiza hadi kizazi cha sasa.Hapana bhna wengi wavivu miaka ile chuo ndio kilikuwa kinawatafytia wanafunzi chuo wake walemaza sana mpaka sasa watu hawatafuti
Sawa kijana wa sasa mmevumbua nini?Miaka ile ni lini? Mimi nimefanya field 2009 na nilichopewa na chuo ni barua tu ya kuombea nafasi. Nilipata kwa shida sana.. nakumbuka nilichelewa kwa mwezi mzjma kuanza. Leo miaka 14 baadae unadhani kuna mvurugano kiasi gani? Kumbuka kwa awamu ya 5 kuna kampuni kibao zilifungwa. Kimsingi hali ni mbaya. Pia kusema vijana ni wavivu unakosea.... kizazi cha zamani ndo kilijaa wavivu hadi kufikiri. Vijana wa zamani ndo waliingia mikataba ya hovyo inayotuumiza hadi kizazi cha sasa.
Kwa staili hii kweli itakuwa ngumu..Wakuu habari za wakati huu,
Nakuja kwenu with a humble plea: Msaada in finding a practical training opportunity. (FIELD). Am currently a 2nd year student hapa UDSM (UDBS)
I've been to numerous companies, handing out barua, but wapi. One trick naikuta kote, its humbly said tutakupigia = ndo nitolee, unajiongeza unapita kushoto.
Ila bado naamini that with your guidance, I can develop the skills necessary to succeed in this finance industry.
With gratitude and unwavering perseverance,
Kijana wenu.
Mobile. +255 733 139 827
Email anatory.cfa@gmail.com
Jomba acha kuanzisha ligi ya kifala.Sawa kijana wa sasa mmevumbua nini?