Wakuu habari za wakati huu,
Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa 2 hapa UDSM (UDBS)
Nimetembelea kampuni nyingi, nikikabidhi barua, lakini wapi. One trick naikuta kote, Unaambiwa kiupole tutakupigia = ndo nitolee, unajiongeza unapita kushoto.
Ila bado naamini kwamba kwa mwongozo wenu, ninaweza kukuza ujuzi unaohitajika ili kufanikiwa.
Kwa shukrani na uvumilivu usio na shaka,
Kijana wenu.
Simu. +255 733 139 827
barua pepe
anatory.cfa@gmail.com