Msaada: Napata mtihani kupata field

Msaada: Napata mtihani kupata field

Ndugu yangu kama kwako ilikuwa rahisi usifikiri ni kwa wote. Kadiri miaka inavyozidi kwenda mbele ndo wasomi wanazidi kuwa wengi sana. Kwa miaka hii makampuni mengi yana vijana wanaojitolea kiasi kwamba kuwapokea wale wa field inakuwa mtihani sana.
Hapana bhna wengi wavivu miaka ile chuo ndio kilikuwa kinawatafytia wanafunzi chuo wake walemaza sana mpaka sasa watu hawatafuti
 
Wakuu habari za wakati huu,

Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa 2 hapa UDSM (UDBS)

Nimetembelea kampuni nyingi, nikikabidhi barua, lakini wapi. One trick naikuta kote, Unaambiwa kiupole tutakupigia = ndo nitolee, unajiongeza unapita kushoto.

Ila bado naamini kwamba kwa mwongozo wenu, ninaweza kukuza ujuzi unaohitajika ili kufanikiwa.

Kwa shukrani na uvumilivu usio na shaka,
Kijana wenu.

Simu. +255 733 139 827

barua pepe anatory.cfa@gmail.com

Pole sana, naamini utapata muongozo;
Ila kwa kuwa sio wote wanaweza kuelewa kozi yako (UDBS) Nafikiri ungeongeza pia, unataka field ya upande gani au niseme Idara gani kwani naona ipo general
Unajua kwenye Kampuni hasa za Binafsi wapo very specific na wanapenda mtu anyooshe maneno...
 
Kada ya afya siku hiziii bilaa kutoa 50k field utaisikia kwenye bombaa na hapo ni hospital za private nomaa snaaaa....
 
Pole sana, naamini utapata muongozo;
Ila kwa kuwa sio wote wanaweza kuelewa kozi yako (UDBS) Nafikiri ungeongeza pia, unataka field ya upande gani au niseme Idara gani kwani naona ipo general
Unajua kwenye Kampuni hasa za Binafsi wapo very specific na wanapenda mtu anyooshe maneno...
Nasoma Bcom Finance, ningependelea kufanya Retail Banking. But kiukweli niko open for ideas
 
Hapana bhna wengi wavivu miaka ile chuo ndio kilikuwa kinawatafytia wanafunzi chuo wake walemaza sana mpaka sasa watu hawatafuti
Miaka ile ni lini? Mimi nimefanya field 2009 na nilichopewa na chuo ni barua tu ya kuombea nafasi. Nilipata kwa shida sana.. nakumbuka nilichelewa kwa mwezi mzjma kuanza. Leo miaka 14 baadae unadhani kuna mvurugano kiasi gani? Kumbuka kwa awamu ya 5 kuna kampuni kibao zilifungwa. Kimsingi hali ni mbaya. Pia kusema vijana ni wavivu unakosea.... kizazi cha zamani ndo kilijaa wavivu hadi kufikiri. Vijana wa zamani ndo waliingia mikataba ya hovyo inayotuumiza hadi kizazi cha sasa.
 
Sawa kijana wa sasa mmevumbua nini?
 
Wakuu habari za wakati huu,

Nakuja kwenu with a humble plea: Msaada in finding a practical training opportunity. (FIELD). Am currently a 2nd year student hapa UDSM (UDBS)

I've been to numerous companies, handing out barua, but wapi. One trick naikuta kote, its humbly said tutakupigia = ndo nitolee, unajiongeza unapita kushoto.

Ila bado naamini that with your guidance, I can develop the skills necessary to succeed in this finance industry.

With gratitude and unwavering perseverance,

Kijana wenu.
Mobile. +255 733 139 827

Email anatory.cfa@gmail.com
Kwa staili hii kweli itakuwa ngumu..

Unasoma UDBS sawa Je ni Course ipi?
  • Finance
  • Banking
  • Accounting
  • HRM
  • Tourism and Hospitality
  • Marketing e.t.c

Yaani unaomba msaada lakini unashindwa kujieleza!!!

Mnatuangusha kwa kweli
 
Back
Top Bottom