Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ligi ipi mzee?Jomba acha kuanzisha ligi ya kifala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi ipi mzee?Jomba acha kuanzisha ligi ya kifala.
Nililisahau hilo kiukweli. Nasoma Bcom Finance. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam nimeomba field hapa hapa sehemu kadhaa lakini kimya.Kwa staili hii kweli itakuwa ngumu..
Unasoma UDBS sawa Je ni Course ipi?
- Finance
- Banking
- Accounting
- HRM
- Tourism and Hospitality
- Marketing e.t.c
Yaani unaomba msaada lakini unashindwa kujieleza!!!
Mnatuangusha kwa kweli
Shukran kwa mawazo mkuuBandari wanachukua maombi miezi 3 kabla, peleka Tazara,TRC,Tanesco huko hukosi field.
Ukimaliza peleka kwenye hizo kampuni binafsi unazotaka ili uwe na wigo mpana wa kupata field
Michael Suphiani?Pole
Na Mimi Hali hii ilinikuta mwaka 2010 ingawaje barua nilizisambaza mapema. Kama Dr Urassa wa Marketing Bado yupo mtafute ufanye field kwenye micro finance yake.
Msalimie Dr King'ori,Mbamba,Basi,Suphiani,Minja na Suluo kama Bado wapo.
Alikuwa MarketingMichael Suphiani?
Unajifanya mjuaji kumbe FALA tuMh mm sijawi ona usumbufu nikikupa cv yangu uangali sehemu nilizo fanya field zote nilipeleka mwenyewe mpaka kairuki pale walipiga simu majibu ya barua yako.teyar tarehe ya field mimi ndio nilikuwa nachagua nirepot wap
SawqUnajifanya mjuaji kumbe FALA tu
Ufala wangu uko wapiUnajifanya mjuaji kumbe FALA tu
Asee shukran. Nimepata tayari fieldPole
Na Mimi Hali hii ilinikuta mwaka 2010 ingawaje barua nilizisambaza mapema. Kama Dr Urassa wa Marketing Bado yupo mtafute ufanye field kwenye micro finance yake.
Msalimie Dr King'ori,Mbamba,Basi,Suphiani,Minja na Suluo kama Bado wapo.
Acheni utani kwa mambo ya msingi,yupo mwaka wa pili,anawasaidiaje wazazi?kuchanja kuni na kuosha vyombo?Nenda kwenu kawasaidie wazazi kazi za famillia.
Umemcheki Dr Urassa?Asee shukran. Nimepata tayari field