Msaada: Napata mtihani kupata field

Msaada: Napata mtihani kupata field

Bandari wanachukua maombi miezi 3 kabla, peleka Tazara,TRC,Tanesco huko hukosi field.

Ukimaliza peleka kwenye hizo kampuni binafsi unazotaka ili uwe na wigo mpana wa kupata field
 
Kwa staili hii kweli itakuwa ngumu..

Unasoma UDBS sawa Je ni Course ipi?
  • Finance
  • Banking
  • Accounting
  • HRM
  • Tourism and Hospitality
  • Marketing e.t.c

Yaani unaomba msaada lakini unashindwa kujieleza!!!

Mnatuangusha kwa kweli
Nililisahau hilo kiukweli. Nasoma Bcom Finance. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam nimeomba field hapa hapa sehemu kadhaa lakini kimya.
 
Pole
Na Mimi Hali hii ilinikuta mwaka 2010 ingawaje barua nilizisambaza mapema. Kama Dr Urassa wa Marketing Bado yupo mtafute ufanye field kwenye micro finance yake.
Msalimie Dr King'ori,Mbamba,Basi,Suphiani,Minja na Suluo kama Bado wapo.
 
Michael Suphiani?
 
Mh mm sijawi ona usumbufu nikikupa cv yangu uangali sehemu nilizo fanya field zote nilipeleka mwenyewe mpaka kairuki pale walipiga simu majibu ya barua yako.teyar tarehe ya field mimi ndio nilikuwa nachagua nirepot wap
Unajifanya mjuaji kumbe FALA tu
 
Pole
Na Mimi Hali hii ilinikuta mwaka 2010 ingawaje barua nilizisambaza mapema. Kama Dr Urassa wa Marketing Bado yupo mtafute ufanye field kwenye micro finance yake.
Msalimie Dr King'ori,Mbamba,Basi,Suphiani,Minja na Suluo kama Bado wapo.
Asee shukran. Nimepata tayari field
 
Mkuu udsm si field unazkuta ptms kwa miaka mingine mwaka huu Zina letwa chuo ukiipenda unasign una Upload ptms au hii sio kwa Collage zote? Maana mpaka Sasa Kuna Collage watu wanahimizwa waende daruso kusign pt then wa upload
 
Back
Top Bottom