Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya hovyo. Lakini kipindi fulani nilikuwa napakuwa fresh tu. Sijajua tatizo nini?
Mkuu hiyo sio shida mkuu ikukupeleka huko back kurudi nyuma mimi inanifanyia hivyo kama mara mbili ila nafanya hivyo hivyo inakuja inapakua fresh hakuna shida mkuu.
Mkuu hiyo sio shida mkuu ikukupeleka huko back kurudi nyuma mimi inanifanyia hivyo kama mara mbili ila nafanya hivyo hivyo inakuja inapakua fresh hakuna shida mkuu.