Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza ila mtihani sana kwa simu inazingua sana sijawahi kutumia.Mi nat
mi natumia simu kwahyo vpn yoyote inaweza kufanya kazi ya kublock ads
Wezako wazipike we uzipakue tu Bure bureNapata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya hovyo. Lakini kipindi fulani nilikuwa napakuwa fresh tu. Sijajua tatizo nini?
Imenisumbua sanaa na bado sijakaa nika uploadNapata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya hovyo. Lakini kipindi fulani nilikuwa napakuwa fresh tu. Sijajua tatizo nini?
Hii ndo unafanyajeKama unatuma smart phone ingia google store kuna application inaitwa TERTROID