MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

Peter Mac

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
14
Reaction score
6
Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndio hali yazidi kuwa mbaya.

Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana lakini mpaka sasa nisha kuwa dhaifu hata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.

Naombeni msaada jamani nateseka sana.

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hebu twende taratibu mkuu. Hizo dawa ulikuwa unapewa hospital au? Ni dawa gani?

Kutosimama kwa uume mara nyingi ni psychology reasons zaidi kuliko hiyo assumption ya kutokuwa na nguvu za kiume
 
Dawa za mitishamba au hospital??
 
Maelezo hayajitoshelezi !

Haisimami kabisa ama haina nguvu ?

Ni mwanachama wa chaputa ? If yes acha kabisa!

Una mwanamke/Dem/mchumba ?
Kama unae, usishiriki nae,

Kula vizuri, fanya mazoezi Kama mwezi halafu tafuta mwanamke Malaya wa kununua, fanya nae, huyo hata usipoperfom Hana habari yeye anaangalia hela, huko kwa Malaya ndio utapata confidence, ukikaa sAwa Rudi kwa mtu wako !

Naona Ni psychology tu, una hofu kwamba ukifeli utaaibika ! Pole mkuu
 
Umemaliza.... halafu nyeto inatumika kama scapegoat tu ila akili zao ndo tatizo.
 
Hebu twende taratibu mkuu. Hizo dawa ulikuwa unapewa hospital au? Ni dawa gani?

Kutosimama kwa uume mara nyingi ni psychology reasons zaidi kuliko hiyo assumption ya kutokuwa na nguvu za kiume
Hiyo psychology unayosema inachukua asilimia 2 kati ya asilimia 100. Asilimia nyingine zote ni tatizo linalo hitaji tiba halisi.
 
Njoo inbox tafadhali.
 
Peter; weka simu yako ili upewe ushauri wa suluhisho la tatizo lako. Hilo sio tatizo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…