MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndo halo yazidi kuwa mbaya.

Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana akn mpaka sasa nisha kuwa dhaifu ata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.

Naombeni msaada jamani nateseka sana.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Duuh ebhana kwanza pole sana ilianza mda gani je hakunanmtu uliyemkosea kuna wengine wanakufunga kiuchawi mashine isimame abadani usikimbilie tu kubwia madawa unajiharbu bora utumie supplement kwa sababu hazi madhara ya moja moja km ilivyo kua presicription medicine. pole saba pole sana jarbu kuangalia upande wa pili hata hawa wanawake nao ni chanzo unakuata anakufunga babu husimami abadani labda umeze midawa sasa sio maisha unakuja kuathirika kisaikolojia.
 
Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndo halo yazidi kuwa mbaya.

Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana akn mpaka sasa nisha kuwa dhaifu ata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.

Naombeni msaada jamani nateseka sana.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Umeoa?
 
Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndo halo yazidi kuwa mbaya.

Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana akn mpaka sasa nisha kuwa dhaifu ata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.

Naombeni msaada jamani nateseka sana.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
njoo pm mkuuu
 
Acha sigara
Acha pombe
Acha kula kwa mama ntilie
Acha CHAPUTA kabisa
Kula matunda mengi
Kula vitunguu saumu, karanga, dagaa, korosho na mbegu za maboga.

Ukifanya hivyo kwa mwezi mzima tafuta Koo lenye umbea mwingi hapo mtaani kwenu halafu ulifunze adabu.
 
Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndo halo yazidi kuwa mbaya.

Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana akn mpaka sasa nisha kuwa dhaifu ata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.

Naombeni msaada jamani nateseka sana.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Dawa gani za kuboost ulizotumia?? Na nyeto umepiga mda gani
 
Wewe unahitaji mchanganyiko wa mpumbu paka,nione dm nikusaidie na siyo bure!.
 
Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndo halo yazidi kuwa mbaya.

Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana akn mpaka sasa nisha kuwa dhaifu ata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.

Naombeni msaada jamani nateseka sana.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Punje Saba za kitunguu swaumu, meza na glass ya maji asbh na jioni, yaani punje 14 per day, baada ya siku 7 tu usipoangalia utabaka kuku
 
Nenda hospitali kamwone specialist wa ilo suala mkuu wala usiogope au kujishtukia. Mwelezee tatizo lako atakuelewa na kukupa mwongozo na itabaki kuwa siri yenu hatokutangaza
 
Hv mtu unakuaje huna nguvu za kiume, anyway nyeto mnaionea tu
Matangazo ya wafanyabiashara sometimes yanaalibu saikolojia ya mtu mambo kama kuwahi kumwaga, kushindwa kusimamisha, kukosa hamu ya tendo huwa yanatokea kutokana na mazingira husika sasa kwenye matangazo uko redioni, mtaani na.mitamdaoni watu wakishaambiwa izo dalili za upungufu inawaathiri kisaikolojia na kujiona wana shida na kuanza kutafuta tiba ya matatizo ambayo hawana na wanaishia kupotea kabisa kumbe iyo ni hali ya kawaida tu sometimes kutokea
 
Shukran
 
Back
Top Bottom