Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
surelyKwahiyo aende wapi mkuu, maana huku mtaani ndo hao mara punje 7, meza hiki, kula hiki, fanya hiki. Kila mtu na chake.
Kuna siku nlisikia redioni mdada anasema magonjwa mengi yanaanzia kwenye utumbo, kila ugonjwa ukitajwa yeye chanzo ni hicho. Anasikiliza maoni maoni na hapohapo anatoa suluhu huku akipromote dawa yake.
Mi naona ni kheri hospitali kuliko madokta wa jf na hizo herbal clinic uchwala za kila mahali.
nguvu anazo sema wasi wasi na kutojiamini.Huwezi kupiga nyeto kama huna nguvu za kiume.
surely.Tafuta mizizi ya mtula tula na mkunde pori, ioshe vizuri kisha chemsha unywe kikombe kimoja (kile cha robo) asubuhi na jioni kwa siku 7 mfululizo au siku 14 mfululizo (kulingana na ukubwa tatizo lako).
au
Chukua mizizi ya mtulatula (ioshe vizuri), imenye yale magamba yake kisha tafunia na karanga mbichi (zile ndogo ndogo zinakua na rangi kama nyeupe hivi). Magamba ya kutosha kumaliza kutafunia walau robo kilo ya karanga au (nusu ya robo), kwa siku 7 mfululizo huku ukinywa maji mengi kulingana na uzito wako.
Usifanye mapenzi wakati unapata hiyo tiba, la nyongeza usijipe stress ukienda kunyanduana pia kumbuka ukipiga bao la kwanza, relax huku ukisubiri kurudia kutafuta bao la 2 usilazimishe dushe isimame.
Vipi imeamka ?Sasa sasa
Atafte supplement km hory goat weed,ginko biloba au ginseng zitamsaidia kumtoa mawazo na kua na confidence atumie ndani ya wiki mbili atakaa sawa.ukiwa na stress hormone ya cortisol inayozaliwa na adrenaline inakua kubwa unaanza kujisikia vbya,mawazo,mwili umechoka choka hata ubongo huwez ku concentrate lazima upate woga. ila hakuna ambae hana ni mentality tu.Toka Nianze kusikia hizi dawa za kienyeji hajatokea mtu hata Mmoja aliesema amepona hilo ni tatizo
Sitishi Bali ndo ukweliAcha kutisha watu mkuu.
Hili swali huwa najiulizaga sana how it possible huna nguvu za kiume sababu ni punyetoHalafu mtu unawezaje kupiga punyeto kama huna nguvu za kiume..au nguvu za kiume ina definition yake nyingine.
Hamna ukweli hapo kijana, wauza dawa za mitishamba wanakudanganyeni sana.Sitishi Bali ndo ukweli
Ulikua unajichua na nini funguka nikwambie ka shida yako ni sababu ya nyeto au saikolojia...Erecton na nimejuchua miaka mi5. Ila sio kwa sabuni
Mkuu hebu ongezea nyama kwenye supplement ya Ginseng, kuna eneo niliona inauzwa kama laki moja hv, sikufuatilia sana.Atafte supplement km hory goat weed,ginko biloba au ginseng zitamsaidia kumtoa mawazo na kua na confidence atumie ndani ya wiki mbili atakaa sawa.ukiwa na stress hormone ya cortisol inayozaliwa na adrenaline inakua kubwa unaanza kujisikia vbya,mawazo,mwili umechoka choka hata ubongo huwez ku concentrate lazima upate woga. ila hakuna ambae hana ni mentality tu.
laki may be ulaya au big brand. Ginseng huku bongo ziko kwenye mfumo wa,vidonge and sofgel ni 24000Tsh tu.Mkuu hebu ongezea nyama kwenye supplement ya Ginseng, kuna eneo niliona inauzwa kama laki moja hv, sikufuatilia sana.
Vp ww ulishapata suluhu..?nguvu anazo sema wasi wasi na kutojiamini.
Siyo kweli,kitunguu swaumu kina faida peke yake badala ya hasaraHivi hiii si ndio dawa ya Kushusha PRESHA? mnajua unawez ona unasaidia tatz fulan kumbe ndio unaenda Kumuua kijana wa watu... Haya mie simo