kuna hospital wanaangalia zote ipo hapo gongolambotoShida ya hospitali wana rely kwenye kipimo cha hormone tu ikiwa sawa basi wanasema katulize akili mara psychology sidhani kama kuna specialist anaweza cheki mfumo wa mzunguko wa damu na mfumo wa nerve hospitali unapoteza hela tu wengine wanacheki mpaka sperm analysisi utadhani umewaambia hauwezi zalisha.