Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndio hali yazidi kuwa mbaya.
Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana lakini mpaka sasa nisha kuwa dhaifu hata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.
Naombeni msaada jamani nateseka sana.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi sio Dr lakini nashauri vitu hivi
1. Kwanza vyeto na kuangalia picha za uchi na video ni lazima uache kwa asilimia 100%. Hizi zinaharibu hisia na tamani yaani kuamsha hisia
2. Kama ni juu ya miaka 50 inabidi umuone Dr
3. Tatu kwa ku repair misuli : chukua vitungu saumu weka kwenye jiko na mafuta ya mzaituni mpaka iwe kama inaungua. Yale mafuta sasa paka kwenye uume wako na acha kwa 15-20 dakika kabla ya kuoga. Hii inasaidia kurekebisha mishipa hasa kwa wale wanaofanya punyeto ambazo sio nzuri. Hii haina side effects zozote zile
Kama ni kijana madawa mengine hayata kusaidia maana madawa yanasaidia kuongea damu kwenye mishipa ya uume saaa kama ni kijana basi tatizo sio mishipa. Tatizo lako ni kati ya haya punyeto, kuangalia sana picha za uchi au vidos au mawazo. Fanya kama nilivyokuambia kama uko chini ya miaka 50 na bado tatizo lipo basi ni tatizo la mawazo ambalo unapata kwa kufikia sana kitendo