Wengi wanaona kua hili ni tatizo la psychology ni ukweli lakini si kwa asilimia zote... Masturbation is healthy but over masturbation ndo shida mkuu. Una haribu mfumo mzima wa umeme wa kusimamisha uume bila wewe kujijua. Na tiba yake mara nyingi sio tu kumeza midawa ila upone, ina kuhitaji na wewe mwenyewe pia willingness yako. Inabidi uache kuangalia porno, uache kujichua kwa siku 40 kabla ya kuanza tiba yenyewe. Unaweza ukapona kwa diet na mazoezi tu bila kumeza dawa yoyote. Sema uwe na pesa ya kujipangilia vyakula na uvumilivu wa kufanya mazoezi. Inabidi dopamine levels zako zirudi kama awali, testosterone levels ziwe high, nitric oxide ya kutosha mwilini... Ni deep sana hili swala na limewaua vijana wengi wa 21st century wazee wa internet cafe na kujichua. Huwez jua mpaka yakukute..