MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

Upungufu wa nguvu za kiume ni hitilafu katika mifumo ya mwili hasa
1. Mfumo wa homoni (testosterone)

2. Mfumo wa fahamu

3. Mfumo wa mzunguko wa damu

Yote kwa yote, ulaji, mtindo wa maisha ikiwemo nyeto, stress nkhuathiri sana mifumo hiyo
 
Sana kak
 
Matangazo ya wafanyabiashara sometimes yanaalibu saikolojia ya mtu mambo kama kuwahi kumwaga, kushindwa kusimamisha, kukosa hamu ya tendo huwa yanatokea kutokana na mazingira husika sasa kwenye matangazo uko redioni, mtaani na.mitamdaoni watu wakishaambiwa izo dalili za upungufu inawaathiri kisaikolojia na kujiona wana shida na kuanza kutafuta tiba ya matatizo ambayo hawana na wanaishia kupotea kabisa kumbe iyo ni hali ya kawaida tu sometimes kutokea
Umenena sahihi
 
Peter Mac Kaka hata hii asubuhi na hichi kibaridi bado tu abdalakichwawazi hataki papa? Maana muda huu ukiigusa tu halafu usikie kale ka harufu na kule kuliwa lazima abdu achanganyikiwe.
 
Nguvu za kiume ni pamoja na jogoo kuwika Zaid ya Mara tatu kwa siku, asubuhi, mchana na usiku kabla hujalala kwa mwanaume rijali lazima jogoo awike hiyo mida
We utakuwa uko idle siku nzima na muda mwingine kuwaza ngono. That won't happen for the whole day-busy men
 
We utakuwa uko idle siku nzima na muda mwingine kuwaza ngono. That won't happen for the whole day-busy men
Jamiiforum Kuna vituko sana mtu hakujui lakin anajifanya anakujua, wewe ambao uko bize unatafuta nin uko jamiiforum,

Jogoo kuwika Haina maana unawaza ngono anaweza wika out of nowhere, ukishaona mpaka uwaze ngono ndo jogoo awike basi unatatizo la nguvu za kiume
 
Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndo halo yazidi kuwa mbaya.

Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana akn mpaka sasa nisha kuwa dhaifu ata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.

Naombeni msaada jamani nateseka sana.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kuna zoezi moja unatakiwa uanze kulifanya mara nyingi ukiamka na ukiwa safari ukiwa ofisini na pia acha kuangalia pornal,Acha video za ngono,usiwaangalie wanawake wakiwa beach,usiwaahangae wanawake makalio kwa kifupi uwe na nidhamu.
 
Nenda hospitali kamwone specialist wa ilo suala mkuu wala usiogope au kujishtukia. Mwelezee tatizo lako atakuelewa na kukupa mwongozo na itabaki kuwa siri yenu hatokutangaza
Shida ya hospitali wana rely kwenye kipimo cha hormone tu ikiwa sawa basi wanasema katulize akili mara psychology sidhani kama kuna specialist anaweza cheki mfumo wa mzunguko wa damu na mfumo wa nerve hospitali unapoteza hela tu wengine wanacheki mpaka sperm analysisi utadhani umewaambia hauwezi zalisha.
 
Kwahiyo aende wapi mkuu, maana huku mtaani ndo hao mara punje 7, meza hiki, kula hiki, fanya hiki. Kila mtu na chake.

Kuna siku nlisikia redioni mdada anasema magonjwa mengi yanaanzia kwenye utumbo, kila ugonjwa ukitajwa yeye chanzo ni hicho. Anasikiliza maoni maoni na hapohapo anatoa suluhu huku akipromote dawa yake.

Mi naona ni kheri hospitali kuliko madokta wa jf na hizo herbal clinic uchwala za kila mahali.
 
Back
Top Bottom