Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Aliwazalo Mjinga ndio litakalo Mtokea,Na hii ndio Darubini.----Afande Sele
---------------------------------------------------------------------------------------

Umeongea Kinyume Nyume pole sana kwa Matatizo ya Nguvu Za Kiume.
 
Mwambie aoe mwanamke mwenye mhemko mkubwa wa kufanya mapenzi.
Mmmmh kweli hao wapo....maana kanieleza kati ya hao (7-10 per week) wengi huwa wanaomba POo na wakiondoka hawarudi hivyo huchukua ghalama ya kutafuta wengine....
 
Kuwa shoga kwa kipindi cha miezi minne kisha nipe jibu
 
Shinda na njaa pia piga nyeto sana ila nyeto jiandae kupata tezi dume ukifika miaka 60
 
mwambie achukue mtego wa panya aweke dudu yake ikamatwe halafu ataumwa kwa wiki mbili tatu ataona amekaa bila uke ataweza kujitune akilini kwamba anaweza
Heeeeh hicho si kifo kabisa au ndo atakuwa amejihasi hatoweza kupata watoto hapo baadae
 
Uyo rafiki yako, isije ikawa anakusanifu tu, kisha pitia na dada zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…