Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Hivi wewe unakulaga chips za wapi? Mbona kila post zako ni pumba tu.Huyo rafiki ako ni hazina....atunzwe.
Cc: Madame B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe unakulaga chips za wapi? Mbona kila post zako ni pumba tu.Huyo rafiki ako ni hazina....atunzwe.
Hivi wewe unalijua balaa kweliMhhhh kwa hii hali mm naona ni balaa eti...
Heeeeh hicho si kifo kabisa au ndo atakuwa amejihasi hatoweza kupata watoto hapo baadaemwambie achukue mtego wa panya aweke dudu yake ikamatwe halafu ataumwa kwa wiki mbili tatu ataona amekaa bila uke ataweza kujitune akilini kwamba anaweza
Uyo rafiki yako, isije ikawa anakusanifu tu, kisha pitia na dada zako.Rejea kichwa cha habari hapo juu..Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana...kaisha jaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...sasa kwa yeye ameona suruhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nlivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME...naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....
Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
Kama hujui ndo basi tena, ila kuna mabalaaaEheee ni lipi hilo ndugu...
Duh! Sasa afanyeje?!Mmmmh kweli hao wapo....maana kanieleza kati ya hao (7-10 per week) wengi huwa wanaomba POo na wakiondoka hawarudi hivyo huchukua ghalama ya kutafuta wengine....
Shabbaaash...mi nilijua ni rafiki yako kumbe ni wewe mwenyewe, c ungesema tuu wakusaidie kina Sakayo Evelyn Salt et alMhhhh kwa hii hali mm naona ni balaa eti...