Mkuu nitake radhi nilikopa bank hata hamu ya papuchi sina kila siku nawaza tarehe ya rejeshoanunue daladala mbovu au akakope bank atakua tayar kapunguza nguvu za kiume kwa asilimia kubwa tu
Atatafutwa sana make ni dhahabu mchangani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuitumia nn siku za Mbele?
hiyo ndo dawa ya kupunguza nguvu zq kiume au kupenda papuchiMkuu nitake radhi nilikopa bank hata hamu ya papuchi sina kila siku nawaza tarehe ya rejesho
Oyaaa jombaaa hyo sumu ya panya.vungaaaa.usije nitafutie kesi ya mauaji.Ratex???... maziwa na dozi wapi na wapi...ila hiyo dawa??? ..hebu ngoja niulizie
Tunasemaga hayo ni mapepo na mwili kuitawala nafsiRejea kichwa cha habari hapo juu..
Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....
Amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana, kashajaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...
Sasa kwa yeye ameona suluhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nilivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME.
Naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....
Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
DuuhSema ni mkristo ila nina muda sasa simuon church...kwa dini yetu mke mmoja sidhan kama watawezana..maana nilijarbu kumwambia aoe akanjibu hivyo
Mi naona hana majukumu huyo, hebu aanze kujipa majukumu, awajibike, ameridhika na maisha yake linaweza kuwa ndio tatizo....Rejea kichwa cha habari hapo juu..
Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....
Amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana, kashajaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...
Sasa kwa yeye ameona suluhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nilivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME.
Naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....
Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
Labda licha ya kuwa anakazi na huwa anatoka jion sana ...Mi naona hana majukumu huyo, hebu aanze kujipa majukumu, awajibike, ameridhika na maisha yake linaweza kuwa ndio tatizo....
Aongeze muda wa kufanya kazi, ajiwekee malengo, atawaza wala hawezi kupata shida.....