Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ukiwa na Shida yoyote ileHongera sana bro nahisi utakuwa daktari kwa utaalam huu...ngoja nimpelekee taarifa hizi..thx in advanc...
wanawake wa jamii forum vichaaaaa nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo rafiki ako ni hazina....atunzwe.
Daaaah acha tu huyo anavtuko ile mbaya mbovuwanawake wa jamii forum vichaaaaa nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anunue daladala mbovu au akakope bank atakua tayar kapunguza nguvu za kiume kwa asilimia kubwa tu
kwani uongo dawa ndo hiyo akifanya hivyo tu anakua kaounguza asikimia kibwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara hii?????mpe namba yangu nimuombee
anunue daladala mbovu au akakope bank atakua tayar kapunguza nguvu za kiume kwa asilimia kubwa tu
Kwahiyo akakope bank???..Duuuh si ndo atahonga mpaka basi...hilo tatizo mimi limenikuta sio mda mrefu sana
nikaja hapa nikaomba ushauri..
japo mimi lilinikuta kama week4 hivi..
na sikufanya ngono ,nilikua naweweseka tu
nikona mwanaume nashtuka, halafu hio hali wanaosema akakope bank then awe na deni hamuijui..
hio hali ukiipata hata mtu akikukata na chupa hujisikii..
yani ni mhemko wa ajabu kabisa.
walinishauri hapa kuwa ni mindset desease...nikajitahidi sana kutokuwazia na maombi
week4 nmepata shida sana sitasahau..
mpaka sasa nmekua kawaida,ni tatizo tu la kisaikolojia kwakweli
ambalo anajiona kwamba bila sex haishi,halafu kashalifanya muda mrefu sana itabidi apate washauri kwakweli maana hilo tatizo ukilipata unaiona dunia chungu maana huna amani ,unatamani hata ukate na kiungo chenyewe!
sasa tatizo linakuja kuondoa ile hali kichwani mwako, hapo ndipo pabaya
pole yake sana! hayo ni matatizo ya saikolojia tu ,kwa mtazamo wangu
asikopeKwahiyo akakope bank???..Duuuh si ndo atahonga mpaka basi...
Yap wazo zuri tena nadhani kungekuwa na Rehab za hayo mambo angeenda kabisa...asikope
akakutane na watu wa saikolojia
maana ni tatizo hata mimi limenikuta ¼ yake ..
nahisi ana hali mbaya mno
maana nguvu ya ngono inazidi mipangilio ya ubongo