Kazi rahisi kupata mjini ni ya ulinzi,usafi,anzia na hizi ukijiongeza kwa hicho kidogo jifunze ujasiliamali.
Kwann usigeukie kwenye ardhi ndio mtaji pekee msingi nguvu zako fyatua tofali,lima mazao yasiyo complicated yenye uhakika wa kuvuna mfano karanga,mtama,muhogo,nyonyo mbarika,mbaazi,kunde,au zama porini kakusanye ubuyu ukipata gunia zako mia umetoboa,lima viazi vitamu vikaushe uza,tengeza mifagio ya majani minazi mianzi au mifagio poli,tengeneza sabuni za mialobaini,minyonyo,milonge au majivu Kisha uzia community yako.
Ukitegemea kazi za kulipwa ujui utaziokota lini.
Ungekuwa una uwanja au shamba uzika ningekushauli uvuke boda kule kazi tele Kuna summer jobs USA Canada na ,ulaya kwani bongo sio Dili, ni Dili kama unayo bongo.Dili zimejaa bongo kuliko nje lakini ni lazima uwe na macho ya kuona Dili.