Msaada: Natafuta kazi ya kufanya. Ni mwepesi kujifunza kazi yoyote

Unakuta umewahi kujitapa kuwa wewe ni don sasa leo hii unaanzaje kulialia kuwa unatafuta kazi, fungua id mpya then lia nayo na ile ya zamani unaitumia kujionea huruma.
Ndio michezo yako Nini mkuu maana umejibu Kwa hisia au ndio account Yako nyingine 🤣🤣🤣
 
Unaonekana ni mchanga sana wa kufikri hiv ww ulipojiunga JF siku yakwanza ulitaka watu wakujudge why umejiunga au ulitaka nijiunge lini ndio niandike hitaji langu?

Mm sikujiunga Huku kupiga story nilijiunga kwa sababu maalumu ambayo ndio hyo nimeiweka mezani au ulitaka nikae kwa muda Gani Kisha ndio niseme naomba msaada.

Inshort baada ya kuhangaika Huku na Huku kuna rafik yang akaniambia kuna mtandao unaitwa JF join then weka hoja yako mezani unaweza pata msaada

ila nimesikitika kukutana na mtu wa type yako unayewaza negative kwa kila mgeni aliyekuja kujenga karibu na nyumba yako 😡😡😡

Next time ukiwa hujaelewa hoja hakuna haja Sana ya kuandika unaweza soma Kisha unapita , na kma ni mwelewa baada ya kusoma yote niliyoyaandika ulipaswa kuelewa kwann nimejiunga Jana

punguza negative expectation hasa kwa mtu usiyemjua.🙏
Yaani maneno mawili tu umejibu kwa kuandika kitabu...🤣
Anyways, endelea kuomba mkuu na komaa zaidi kuomba bila shaka utafanikiwa...😂
 
Hujajua nimekutafakar kias gan ushawah kuwaza wewe ndio unashida halaf mm nmekuchukulia ulivyochukulia?

halaf kwenye halaiki ya watu namna hii. Au hujui kama comment yako Moja inaweza mfanya mwingne awaze kma ulivyowaza

na inaweza mnyima mtu nafasi ya kumsaidia mtu

ukitaka kujua Hilo fuatilia wangap watalike na kusupport ulichoandika ndio utajua kwann nimeweza kuandika maneno meng kias hiko kwenye maneno yako machache

ila okey umeeleweka na hongera 🙏
 
Unaonekana ni mchanga sana wa kufikri hiv ww ulipojiunga JF siku yakwanza ulitaka watu wakujudge why umejiunga au ulitaka nijiunge lini ndio niandike hitaji langu?

Mm sikujiunga Huku kupiga story nilijiunga kwa sababu maalumu ambayo ndio hyo nimeiweka mezani au ulitaka nikae kwa muda Gani Kisha ndio niseme naomba msaada.

Inshort baada ya kuhangaika Huku na Huku kuna rafik yang akaniambia kuna mtandao unaitwa JF join then weka hoja yako mezani unaweza pata msaada

ila nimesikitika kukutana na mtu wa type yako unayewaza negative kwa kila mgeni aliyekuja kujenga karibu na nyumba yako [emoji35][emoji35][emoji35]

Next time ukiwa hujaelewa hoja hakuna haja Sana ya kuandika unaweza soma Kisha unapita , na kma ni mwelewa baada ya kusoma yote niliyoyaandika ulipaswa kuelewa kwann nimejiunga Jana

punguza negative expectation hasa kwa mtu usiyemjua.[emoji120]
Mkuu unaonekana unaweza siku moja kumtia makofi boss wako siku akizingua. Inabidi mtu akikupa kazi awe na nidhamu sana na wewe maana anaweza chezea makofi.
 
Hapana ila nmegundua asilimia kubwa ya watz tunapenda sana dhalau hasa Kwa Watu tusiowajua na hii imewagharimu wengi. Haiwezkan from no where unamashaka na mtu kuwa mpyaa JF inamaana Kuna idadi maalumu wa wahusika humu au

hiyo haitoshi mtu hawaz hitaji alilonalo mtu anaandika comments zinazolenga kuleta taharuki Kwa wengne , kma umefuatilia comment yake wapo walioisupport kitaalamu pale ishaniondolea idadi ya Watu ambao wangekuwa na msaada kwang .
 
Hujajua nimekutafakar kias gan ushawah kuwaza wewe ndio unashida halaf mm nmekuchukulia ulivyochukulia?

halaf kwenye halaiki ya watu namna hii. Au hujui kama comment yako Moja inaweza mfanya mwingne awaze kma ulivyowaza

na inaweza mnyima mtu nafasi ya kumsaidia mtu

ukitaka kujua Hilo fuatilia wangap watalike na kusupport ulichoandika ndio utajua kwann nimeweza kuandika maneno meng kias hiko kwenye maneno yako machache

ila okey umeeleweka na hongera 🙏
Kama hadi unajua kufuatilia likes hapa Jf, basi yamkini wewe ni mwenyeji hapa Jf unae tumia ID mpya.
Anyways, mimi nilisha katazwa kuomba na hivyo ndivyo ninavyo amini hata sasa kwamba hakuna mafanikio yanayo kuja kwa kutafuta huruma with big mouth...😜
 
Au sio kumbe nmekufurahisha kias hiko okey endelea kufurahia ila nakushaur tunza baadhi ya kicheko kwasb Kuna muda utakihitaj Tena na utakikosa.
Pambana mtoto wa kiume.
Kaza mkuu, mafanikio ni njia ndefu ilio jaa jasho damu na maumivu mengi...😕
All the best
 
Kazi rahisi kupata mjini ni ya ulinzi,usafi,anzia na hizi ukijiongeza kwa hicho kidogo jifunze ujasiliamali.
Kwann usigeukie kwenye ardhi ndio mtaji pekee msingi nguvu zako fyatua tofali,lima mazao yasiyo complicated yenye uhakika wa kuvuna mfano karanga,mtama,muhogo,nyonyo mbarika,mbaazi,kunde,au zama porini kakusanye ubuyu ukipata gunia zako mia umetoboa,lima viazi vitamu vikaushe uza,tengeza mifagio ya majani minazi mianzi au mifagio poli,tengeneza sabuni za mialobaini,minyonyo,milonge au majivu Kisha uzia community yako.
Ukitegemea kazi za kulipwa ujui utaziokota lini.
Ungekuwa una uwanja au shamba uzika ningekushauli uvuke boda kule kazi tele Kuna summer jobs USA Canada na ,ulaya kwani bongo sio Dili, ni Dili kama unayo bongo.Dili zimejaa bongo kuliko nje lakini ni lazima uwe na macho ya kuona Dili.
Mkuu hizi motivational speechs zipo nyingi sana mtandaoni inawezakana hata mtoa post ashakutana nazo sana, ni maelezo ambayo yanaandikwa/kusemwa kirahisi sana lakini ukiingia field kufanikiwa its very rare. Mimi nafikiri kama una connection ya moja kwa moja mpe jamaa
 
Ni ngumu kwetu sisi waafrika sababu tunapenda urahisi mbona wenzetu wanatembea nazo na wanatoboa.
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili.
Mifumo inatuandaa kuajiriwa TU wakati fursa tele
 
Sawa mkuu. Kama una connection msaidie jamaa ili aanzie hapo maana huo ndio msingi wa post yake
Maisha hayahitaji connection bali wewe ndie unaitengeneza connection kupitia kuongea ongea na watu.
Mimi sina connection bali natoa maarifa information gap apite wapi atoboe.
Kazi zipo kwenye kampuni za ulinzi,za usafi,masokoni,magereji,ferry,viwandani,mabondeni kulima mboga,hizi sehemu ni nguvu yake ya kuongea na watu bila aibu usiogope kumface MTU the more you talk easy to get kila siku aweke target ya kuongeana watu angalau 100 atapata jibu la maisha yake maana hakuna shida mpya duniani zote hizi ni marejeo tu.
Mfano Mimi nilianza kwenye ulimaji mboga,umachinga,ulinzi nikilinda watu miaka 20 iliyopita baada ya kumaliza six Leo na Mimi nalala nimelindwa.
Michongo upatikana kwa kuongeza kupanua WiGo wa kuongea na watu katika mia lazima utapata 10 wema watakupa mwanga.
Asijiingize TU KAZI haramu,au za mafanikio ya nguvu za giza hazina baraka na mwisho mzuri.
Maana shetani huwa atoi kitu Bure lazima umfanyie kazi usione kina papa wanapromote ushoga ukadhani wanapenda wana mlipa aliyewafanikisha walipo.
 
Another motivational speaker in town
 
Back
Top Bottom