bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Dunia ni siri na Siri ndio mafanikio yenyewe zijue siri uwe huru usiteswe na umasikini,mapenzi,nk.πππππ Asante sana mkuu
Shukrani mno ππππ
Nimekuelewa vya kutosha hapa ni kujitoa tu kwa moyo wote...
Kumbe ni kweli hivi vitu vina kanuni zake ππππ
Ndo mana wapo wachache sana kumbe kuna mambo hayaendi hivi hivi mpaka ufungue code..Dunia ni siri na Siri ndio mafanikio yenyewe zijue siri uwe huru usiteswe na umasikini,mapenzi,nk.
Kila kitu kina kanuni zijue tu kanuni zake
Kwahy ww unawaza mizagamuano tuu π"""Hamaanishi kupenda ile ya ngono."""
πππππππππππππππ
Half american
Mbaga Jr
Naona kaweka msisitizo hapo..Kwahy ww unawaza mizagamuano tuu π
Chenga sana huyo mkuuKwahy ww unawaza mizagamuano tuu π
Dunia ni codes,zifungue uwe huru.Ndo mana wapo wachache sana kumbe kuna mambo hayaendi hivi hivi mpaka ufungue code..
Sasa wenzangu na mimi tunaishi kimazoea sana.
Hapa ndo tunapata 1, 2, 3 kidogo kidogo mkuu ππππ
Mkuu yaani hoja yako haiendani kabisa na hii mada kwakweli.Dunia ni codes,zifungue uwe huru.
Mfano jiulize kwann wazungu wanatoa sana misaada afrika ukidhani wanatupenda sana,jiulize mbona tangu tuanze kusaidiwa mbona hatuendelei wao ndio wanaofaidika na kuendelea siri wanachukua baraka zetu,
Au kwann watu wanakesha wanaomba makanisani but still wanatandikwa na umasikini, maombi si jibu pekee kwa Mungu bali uzijue codes za kiMungu ili ufanikiwe.
Maarifa,bidii na ni nidhamu si ndio codes zenyewe za kiMungu.Mkuu yaani hoja yako haiendani kabisa na hii mada kwakweli.
Kismingi waafrika hauendelei kwasababu ya ujinga, uvivu na ubinafsi.
Na hakuna code yeyote ya kiMungu, labda kama unamsemea mungu.
Hakuna siri ya mafanikio yanayo kuja pasipo Maarifa, Bidii na Nidhamu.
Mbagala maeneo ya kirungule mwishoUpo dar maeneo gani...?
Unaonekana ni mchanga sana wa kufikri hiv ww ulipojiunga JF siku yakwanza ulitaka watu wakujudge why umejiunga au ulitaka nijiunge lini ndio niandike hitaji langu?Naona umejiunga Jf jana, sijui kwanini napataga mashaka na hizi ID mpy....π€
Mkuu umeshauri vyema kabisa namimi nimependa ushauri wako. tuambie wewekati ya vyote ulivyo orodhesha ulianza na kipi na ulifanyafanyaje ? ahsant ili jamaa apate uzoeefuKazi rahisi kupata mjini ni ya ulinzi,usafi,anzia na hizi ukijiongeza kwa hicho kidogo jifunze ujasiliamali.
Kwann usigeukie kwenye ardhi ndio mtaji pekee msingi nguvu zako fyatua tofali,lima mazao yasiyo complicated yenye uhakika wa kuvuna mfano karanga,mtama,muhogo,nyonyo mbarika,mbaazi,kunde,au zama porini kakusanye ubuyu ukipata gunia zako mia umetoboa,lima viazi vitamu vikaushe uza,tengeza mifagio ya majani minazi mianzi au mifagio poli,tengeneza sabuni za mialobaini,minyonyo,milonge au majivu Kisha uzia community yako.
Ukitegemea kazi za kulipwa ujui utaziokota lini.
Ungekuwa una uwanja au shamba uzika ningekushauli uvuke boda kule kazi tele Kuna summer jobs USA Canada na ,ulaya kwani bongo sio Dili, ni Dili kama unayo bongo.Dili zimejaa bongo kuliko nje lakini ni lazima uwe na macho ya kuona Dili.
Kwenye HAND naweza saidia, labda ana maanisha mkono wa kufanyia kazi. HEART mhuuuu... Labda moyo wa ufanyaji kaziMtaji sio pesa bali ni vitu vinne 4H yaani
HEAD,
HEART,
HAND
na HEALTH
Mkuu shukrani sana aiseee..
Ila hapa kwenye HEART najaribu kuchanganua ila sijajua hii imekaaje .? Na HAND kidgo ufafanuzi
Kila siku watu wanasema kuwa zijue kanuni za Dunia utoboe, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kuzitaja hizo kanuni au kusema zinapatikana wapi ili tukajifunzeDunia ni siri na Siri ndio mafanikio yenyewe zijue siri uwe huru usiteswe na umasikini,mapenzi,nk.
Kila kitu kina kanuni zijue tu kanuni zake
Elimu ni pana kila mtu na njia zake kutoboa hakuna formula mojaKila siku watu wanasema kuwa zijue kanuni za Dunia utoboe, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kuzitaja hizo kanuni au kusema zinapatikana wapi ili tukajifunze
Unakuta umewahi kujitapa kuwa wewe ni don sasa leo hii unaanzaje kulialia kuwa unatafuta kazi, fungua id mpya then lia nayo na ile ya zamani unaitumia kujionea huruma.Naona umejiunga Jf jana, sijui kwanini napataga mashaka na hizi ID mpy....[emoji848]
Otikiii π€£Unakuta umewahi kujitapa kuwa wewe ni don sasa leo hii unaanzaje kulialia kuwa unatafuta kazi, fungua id mpya then lia nayo na ile ya zamani unaitumia kujionea huruma.