Usimuharibie maisha binti wa watu kwa ukware wako. Binti ndiyo kwanza yuko Form Two kama anaenda shule na wewe baba mtu mzima badala ya kwenda kutafuta wanawake wa rika lako unataka kumharibu binti wa watu! Mtu mzima hovyooooo!
nakwambia BAK watu wengine sasa hili pia ni la kujadiliwa??? sasa yeye ndiye angekatia kibao akikarudisha hiyo form2, watoto nao ukware ati yuko tayari kumpa ubikra! masikitiko!
sasa wewe 26 years una haraka gani ya kutaka kuoa mpaka utangaze huku? mimi nilidhani emergency! wewe pia underage, kua kwanza maana nina wasi wasi wewe ndo utakatoroka kabinti ka watu.
endelea na hao wa kurushana nao roho, muda ukifika utajua umuoe nani, ukishindwa ndo uje uombe ushauri
Pretty, tunazo sheria kama hizo lakini kama ujuavyo sheria za nchi yetu zisivyofuatwa kabisa kutokana na rushwa iliyokithiri katika kila kona.
Hujanielewa mkuu, nimekwambia nakapenda na nataka niwe nacho kama kagirlf friend wangu sasa mambo ya ndoa yamekujaje jamani.....mimi nilichosema nataka kusettle down mambo ya kuruka nimechoka sasa nimeangukiwa hapo chini ndo naomba ushauri wenu....nashangaa wengine wananipiga madongo utafikiri na wao wasafi kweli vile....
Sheria ya kuolewa ya mwaka 1971 inasema mtoto wa kike anaweza kuolewa akiwa na umri wa miaka 15, hivi ni sheria au kituko? Hivi hii serikali inayoongozwa na wasomi au? Miaka 15 ni umri ambao mtu anatakiwa kuwa shule.
Sheria ya kuolewa ya mwaka 1971 inasema mtoto wa kike anaweza kuolewa akiwa na umri wa miaka 15, hivi ni sheria au kituko? Hivi hii serikali inayoongozwa na wasomi au? Miaka 15 ni umri ambao mtu anatakiwa kuwa shule.
umeona eeh...kama sheria iliwahi kutambua kuwa miaka 15 anaweza kuhimili mikiki ya ndoa sasa cha ajabu kiko wapi wa 16 kunihudumia na mie wa 26? Hapa mi nachokiona si umri ila nimpe muda amalize masomo yake....wasichana wangapi wanazaa wakiwa chini ya miaka 16 tena wengine hadi 13 utakuta wanawatoto.
Kwa maisha ya sasa, binafsi sijaona shida kuwa na uhusiano na msichana wa umri huo labda kwa kuogopa KUNYEA DEBE SAWA, suala lingine muhimu ni elimu, najua familia bora nile inayoongozwa na wazazi wasomi. Hivyo nakubaliana na suala la kumuacha asome na si vinginevyo. Nasema haya kwa kuwa hakuna aliyenishawishi kwa HOJA ZA MSINGI (tukiacha maneno ya kinafiki) kuwa huyo binti hawezi kuwa na mwanaume kama mimi....Je yupo mtu wa kukanusha hayo kwa hoja?
Swali la msingi hapa je huyo binti yupo shule au yupo mtaani?Nyie mnaosema kwamba amchukue na kumkuuza kama ni mtoto bado yupo primary au secondary atakuja pata shida huyu Fiskman.
you are not helping at all....NO WONDER YOU CANT TALK!
You want JF members to help you sleeping with a 16 years old!? Ha ha ha ha ha Mtu Mzima hovyooooo! nadhani una walakini kichwani mpaka kuja kuomba msaada hapa ili kuendeleza ukware wako wa kutembea na vibinti ambavyo ni under age.
Huyu mtoto kwa kweli nataka kumuoa kabisa..tatizo ni mdogo sana kanaweza kunibadilikia kakianza kujua dunia. Japo kamenihakikishia hundred times kuwa ananipenda na ananipenda kiukweli. Yuko tayari hata kunipa bikra yake kama naona namuongopea.
Sasa haya ni maneno mazito kutoka kwake ndo maana naomba ushari kwenu pengine wapo wenye situation kama yangu....binafsi nimeamua kumpa muda akue at least miaka miwili afu ndo nianze kummega.
...mkubwa, safi sana hiyo...wewe ka 'adopt' tu hako kabinti na ukalee vizuri.
...maisha yameharibika bana, kunguru wengi sana siku hizi, ...kafuge kweli kweli wasije kaharibu!
...lol, mkuu Bak... fiksiman alitumegea huko nyuma kwamba atampa miaka miwili angalau kakue kidogo...au?
Mkuu Mbu, unajua mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu mchungu. Huyu binti kama angekuwa binti yako ambaye unamsomesha kwa gharama kubwa kabisa sidhani kama ungetoa kauli kama hii. Wala sijavua shati Mkuu na kuanza kujipiga kifua ni observation tu ambayo nimeona si vibaya nikikushtua.