Msaada: Nataka kuanza uhusiano na kasichana nimekazidi miaka 10...

we Geof, hizi campaign zako na ushauri wa aina hii kwa mwenzio siyo mzuri, imagini kama angekuwa mdogo wako ndo jamaa anataka kuharibu at such a young age, pls si vizuri.
 
...naaam bro,

nimeyatafakari yote hayo ndugu yangu ila majority ya 16yrs old wetu wa Tz wanapoteza 'muelekeo' kwenye umri huo, hasa wale ambao wazazi wao hawana uwezo ki hivyo, ama?
hata kama wanapoteza mwelekeo, jukumu letu kama wazazi, walezi na makaka na madada ni kuzidi kuwapa moyo hawa wanaowaharibu au kuwakataza? Mbu unaniangusha, i hope huna binti katika familia yako, na kama unae i hope situation ya aina hii hutaiface, maana tunaongea tu kwa vile hayajatukuta, halafu ukute na mtu mwenyewe mwathinka afadhali hata mimba. God forbid
 
Hayo ndo maneno sasa....sio kuleta unafiki tu.
sas na wewe umekuja hapa kupata approval au kuomba ushauri? inakuwaje watu wanaokushauri othrwise unawapaka na wale wanaokubaliana na ufirauni wako ndo unawasifia. You came here with your mind already set so you are just enjoying us. Lkini nachosema mimi hata nikibaki peke yangu, i am against this, wazee wenzio kibao huko tena wako very desperate for marriage if thats what you really want, eti kwa vile bikra, we mwenyewe hiyo bikra unayo au ushakuwa used vya kutosha lakini unataka brand new? Halafu kuna watu wazima humu wenye familia zao wanakuunga mkono, badala ya kurekebisha mapungufu yalioko kwenye jamii yetu na magonjwa yote haya yunazidi ku encourage watu kama hawa kwenye kuharibu mabinti zetu. tena nionavyo mimi binti kama kajitahidi kuwa bikra hata sasa anaweza kuendelea kujitunza zaidi kama watu kama hawa wasipotokea na kujifanya wanawashawishi kwa ndoa. i hope you will feel it when you are a parent yoursel, wanasema malipo ni hapa hapa, and what goes around comes around.
 
Umalaya tu huo kumbe unataka kukamega??? Mi Demu wangu namzidi miaka 6 na yuko grade 11(High School) ila tuko fiti tu !!!
 
Umalaya tu huo kumbe unataka kukamega??? Mi Demu wangu namzidi miaka 6 na yuko grade 11(High School) ila tuko fiti tu !!!

Mkuu chagua gereza kati ya haya: Ukonga, Keko, Segerea. Afu ntakuambia kitu.
 
Carmel nipo pamoja na wewe kuupinga huu ufataki wa Fiksman.Kama jina lake lilivyo fiksi anataka kumrubuni 'AshaRose Migiro' wetu wa kesho,hatukubali.Anachofanya hapo ni ku-corrupt mind ya huyo mtoto awaze mapenzi badala ya kujikita zaidi kwenye masomo.Na akianza kumuwaza fiksiman lazima atapoteza masomo kwakuwa mshikambili moja humponyoka.
 
Kaka usikaachie hako kumbe ni kigoli,mwenzako Mswati huvihangaikia sana hivyo wewe kimekuja kizalizali tuu,kata utepe mkuu!!!
 

Chunga sana kaka, watoto kama hao bado wanajifunza, kwanza mwenyewe bado hajielewielewi, akijielewa huwezi kujua kama bado atakuona unamfaa au la. Ni umri flani wa exploration, experimentation, hajajigundua bado huyo binti 'cheichei'. Kama unampenda sana, mpe muda wa kukamilisha hatua hii ya 'mawenge', atakapojielewa akakuta kweli ni wewe, basi ni wa kwako huyo. Akija kujielewa akagundua kumbe ilikuwa 'utoto tu', basi ni bakhti mbaya.
 

Mkuu ningependa kukushauri ungojengoje ili kaingie kwenye hiyo miaka ya kujiachia.......lakini nikikumbuka ule wimbo wa banana zollo " ngojangoja naonekana zoba eeeeeh" ushauri unakuwa mgumu
 

well said mami....watu wangejua tunavyolea kwa shida jamani hata wacngefanya haya, mana mijitu mingien humu inacfia tu upumbavu, hivi kweli watu na akili zetu tunaweza m support huyu kachala kumshawishi binti wa watu kimapenzi....eti amvute karibu khaaa
 


wewe nawe, umeona thread imesemaje? anaomba uhusiano wa kuanzisha mapenzi na kasichana, sasa c ndio mapenzi yale yale au kuna mengine?
 
kama nawe unakapenda kweli kangoje kafikie at least 18yrs. kupishana umri siyo ishu kwenye mapenzi, ila pia kubadilika inawezekana ama isiwezekane hakuna guarantee sabb mtu huwa hajipangi kukuchoka siku moja ama kupenda mtu mwingine siku zijazo.
 

hako ni kadogo sana mmh inabidi akaache kaendelee na maisha yake

lakini camel vibinti vya kileo utakuta chenyewe kinamfata mala ooh mbona siku hizi umenichunia ,,,nakumiss na mambo kibao
 
hebu achana nako kabisa mtoto wa miaka 16 mbona anafaa kuwa shuleni...jamani duh!!! kwa nini usitafute wenye miaka 20+ na wapo wengi tele ukikosa hata wa karne tatu na/...... tupo wengi achana na vitoto utajipata jela bure....

Duh...Shishi naona unajipigia debe hapo.
 

hivi wewe fiksiman, na wengineo mnaompa ushauri wa kuendelea na hako ka sidanganyiki, imagine una binti yako au dada yako matata saana wa miaka 16, halafu jamaa anakuja na miaka yake 26, ameridhika na elimu yake sasa anataka halo ka binti sijui kukaoa/kukamega, utatoa ushauri gani? ..chukua tuu au subiri kwanza miaka miwili (kama inasubirika vile?),.. wengine hapo mngemtoa baru na kisu mkononi...lakini kwa watoto wa wenzenu Aaaaah!
 
hako ni kadogo sana mmh inabidi akaache kaendelee na maisha yake

lakini camel vibinti vya kileo utakuta chenyewe kinamfata mala ooh mbona siku hizi umenichunia ,,,nakumiss na mambo kibao

FL, kuna umri huwa unafikia watoto wanakuwa na ma hormone gani sijui yanapata wazimu ndani ya miili yao, wengi wetu kama sio sote tumepitia huko, wajibu wa watu wazima ni kushirikiana na wazazi kuwa ongoza hawa watoto wanapopita kwenye hio turbulance age na sio kutake advantage,
 
mkuu miaka 10 sio issue sana, we kandamiza tu
 
Usimuharibie maisha binti wa watu kwa ukware wako. Binti ndiyo kwanza yuko Form Two kama anaenda shule na wewe baba mtu mzima badala ya kwenda kutafuta wanawake wa rika lako unataka kumharibu binti wa watu! Mtu mzima hovyooooo!

Jamaa kamzidi miaka 10 hivi ana miaka 26 tu hivyo nadhani sio sahihi kumuita baba mtu mzima,japo ni vyema amsubiri binti avuke miaka 18.
 
Huyu jamaa naona milango ya Keko,Segerea iko wazi kwa ajili yake maana miaka 16 mmhh.Huyu si ni mtoto wa shule kabisa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…