Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mpambanaji mchapakazi ishu imenileta kwenu ni hii mimi nimekuja huku Kenya niko na miaka 2 sasa, kiukweli naishi poa na nimebahatika kupata msichana na tayari ni mjamzito mpaka mwezi wa 3 natarajia mtoto kutoka kwa binti wa kikenya mrembo sana my love

Sasa hilo tuliache kiukweli nampenda ananipenda sana ila shida iko mm nimeamua nikatae kabisa Tanzania niwe raia wa Kenya sitaki mtoto wangu na mke wangu siku moja niwaaache nirudi Tanzania.

Nilikuwa naomba njia rahisi ya mimi kuwa raia wa huku yaani nipate I'd niwe na haki zote kama Mkenya japo niko na NIDA ya Tanzania nimezaliwa Tanzania full sasa ninataka niwe mkenya kwa ajiri ya maslahi mapana ya mke na mwanangu.

Kiufupi nimejiwekeza maana niko na pikipiki niko na biashara ya nguo huku, pesa ya kubadili mboga napata na mke wangu ana kazi yeye ni msusi mzuri sana

Nisaidien plz sio kama naikataa Tanzania 🇹🇿 ila ninampenda huyu mwanamke kuliko chochote hata kuliko hiyo Tanzania 🇹🇿 yenyewe
 
Wahi ofisi za migration Kenya mkeo nenda nae na tumbo lake atakurahisishia kazi
 
Shiriki maandamano kadhaa, bila hivyo hawawezi kukupa.
Ni kama huku unavyotakiwa kuwa Mwana CCM. Hata wale wachezaji wa Singida waliobadilishwa uraia, wamepewa vitambulisho vya taifa na cards za CCM
 
Sasa huku mm sijihusishi na siasa kaka mm niko geto na mama mtu na biashara zangu tuuu basi
 
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mpambanaji mchapakazi ishu imenileta kwenu ni hii mimi nimekuja huku Kenya niko na miaka 2 sasa, kiukweli naishi poa na nimebahatika kupata msichana na tayari ni mjamzito mpaka mwezi wa 3 natarajia mtoto kutoka kwa binti wa kikenya mrembo sana my love

Sasa hilo tuliache kiukweli nampenda ananipenda sana ila shida iko mm nimeamua nikatae kabisa Tanzania niwe raia wa Kenya sitaki mtoto wangu na mke wangu siku moja niwaaache nirudi Tanzania.

Nilikuwa naomba njia rahisi ya mimi kuwa raia wa huku yaani nipate I'd niwe na haki zote kama Mkenya japo niko na NIDA ya Tanzania nimezaliwa Tanzania full sasa ninataka niwe mkenya kwa ajiri ya maslahi mapana ya mke na mwanangu.

Kiufupi nimejiwekeza maana niko na pikipiki niko na biashara ya nguo huku, pesa ya kubadili mboga napata na mke wangu ana kazi yeye ni msusi mzuri sana

Nisaidien plz sio kama naikataa Tanzania 🇹🇿 ila ninampenda huyu mwanamke kuliko chochote hata kuliko hiyo Tanzania 🇹🇿 yenyewe
 
Attachments

  • 5938169-3f8437b06df44d0a7c8b8e175f481762.mp4
    23 MB
Back
Top Bottom