Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Sawa sawa hakuna shidaa
 
Kila la kheri maisha ni popote, ila uangalie wakenya wana tabia ya kukuacha uchukue uraia kwanza alafu wanageuka sura kama vinyonga. Uwe makini sana.
 
Naishi tuuu sio kiharali
Rudi Tanzania na mkeo nenda Bomani mkaoane. Omba settlement visa kwenye ubalozi wa Kenya, then utakuwa mkazi halali wa Jamhuri ya Kenya. Hiyo ni hatua ya kwanza mengine ya uraia utayapata wizara ya mambo ya ndani nina maana Immigration ya Kenya. Una nafasi kubwa omni lako kukubsliwa, ili mradi fanya kazi halali lipa kodi na usivunje sheria za nchi hasa hasa makosa makubwa yatakayo kupelekea ufungwe.
 
Ndoa na mwanamke mKenya ndio njia rahisi kwako Ila lazima ndoa idumu miaka 7 kabla ya kuomba uraia.
 
Sasa unanunuaje plot wakati sio raia?hiyo plot sio yako any yime unapokonywa
Sheria za aridhi za Kenya ni tofauti na zetu Tanzania. Mgeni kule unaweza miliki aridhi. Provided you are not illegal immigrant
 
Wahi ofisi za migration Kenya mkeo nenda nae na tumbo lake atakurahisishia kazi
Kama unaishi sio kihalali mnaenda kubaki usifuate huu ushauri na swala la yeye kuwa raia wa Kenya plus awe na NIDA huku Tanzania hilo haliwezekani
 
Kama unaishi sio kihalali mnaenda kubaki usifuate huu ushauri na swala la yeye kuwa raia wa Kenya plus awe na NIDA huku Tanzania hilo haliwezekani
Inakuwajeer mkuu
 
Sheria za aridhi za Kenya ni tofauti na zetu Tanzania. Mgeni kule unaweza miliki aridhi. Provided you are not illegal immigrant
Kenya wana sheria nzuri
 
Broo yaaan kenya na Tanzania 🇹🇿 mpak viza mkubwa
 
Kila la kheri maisha ni popote, ila uangalie wakenya wana tabia ya kukuacha uchukue uraia kwanza alafu wanageuka sura kama vinyonga. Uwe makini sana.
Ooooooh hiyoo ndio tabia yaoo kunbe
 
Ongea na wakenya wawaulize migration juu ya njia ya kutatua inshu yako,hakuna linaloshindikana Kila la kheri
 
Ukijifungua
Ah nmekosea,shem akijifungua huyo mtoto muite onyambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…