Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

Joined
Feb 4, 2023
Posts
39
Reaction score
87
Poleni na majukumu wakuu.

Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.

Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories. Na vitu ambavyo ninataka kuanza navyo ni kama ifuatavyo;

Kodi ya frame (hii ni 80k kwa huku nilipo)
Viti 2 vya plastiki ( kwa ajili ya matumizi ya ofisi)
Meza ya aluminium
Makava ya simu
Screen protectors
Chargers
Headphones
Earpods
Memory cards
Flash discs
Battery za simu
USB's
TRA (100k)
Jiji
Visimu vidogovidogo.

Naombeni muongozo wakuu kuhusu kutosheleza kwa mtaji, lakini pia sehemu ya kupata mzigo kwa kariakoo maana mimi nipo mkoani.

Mungu awabariki.
 
Hii ni biashara nzuri, japo sina uzowefunayo lakini ni biashara ambayo hata mimi natarajia kuifanya.

Kuhusu mtaji wako, unatosheleza/ unawekaza kuanzanao hiyo biashara, kwa sababu bei ya jumla ya vifaa vingi vya simu ni ndogo.

Mfano screen protector ambazo mtaani zinauza 3000, maduka ya jumla zinauzwa 1000.

USBs 500,1000 - 15000, betri 1000,2000 - 3000, makava ya viswaswadu (tecno,itel)aina zote 4000

Hizo ni bei tu za kawaida, ambazo anaweza kuuziwa hata anayenunua pc 1, hivyo ukinunua mzigo mkubwa ( chimbo)unaweza ukapata kwa bei nzuri zaidi ya chini ya hapo.

Hivyo kwa mtazamo wangu, hiyo hela yako inaweza kutosho, japo hiyo kodi uliyoandika sijui ni kwa mwezi au kwa muda gani, lakini pia sijaconsider usafiri ikiwa mzigo utachukulia Dar.
 
Hiyo kodi ni kwa mwezi mmoja ina maana miezi mitatu ni 240k, kuhusu chimbo sasa ndio kipengere maana hata silijui
 
Ungepata mtu wa kukuongoza ingekuwa rahisi kwako, kwa sababu maduka ya vifaa vya simu yapo mengi na ninadra kukuta duka moja linauza kila kitu kwa bei nzuri, utakuta hiki unapata hapa na hiki unapata pale.

Mfano chargers,usb, earphones, flash and the like hivi unaweza kupata vyote kwenye duka moja, ila maduka ya protector na makava mara nyingi huwa wanauza vitu hivyo tu.

Ila ushauri wangu, kwa kuwa umeamua kuifanya biashara, kikubwa ni kuwa na clue ya bei halafu unaingia madukani, na machimbo mazuri zaidi utayapata kwa kudadisi, unauliza hapa unauliza pale.

Na kununuua wa bei kubwa inaweza ikawa ngumu kuepuka kwa mwanzo, ila with time utajikuta unazifikia bei nzuri zaidi.
 
Mkuu,
Kwanza nikupongeze kwa kuuliza swali sahihi
Kwakuwa tayari unajua unachokitaka.
Wengi wanaokuja humu huwa wanauliza wafanye biashara gani
( Swali gumu sana)
Kwanza kama uko mkoani nakushauri upange safari ufike Dar (kariakoo)
Ni vyema ukafanya utafiti ukiwa sokoni.
Mikoa ya Kaskazini yani
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Wanapenda vitu qualify hivyo kama upo huko ni vizuri kununua vitu OG mf. Charger, Batteries, USB nk
Note: Kuwa makini sana na kava za simu, usichukue nyingi kwa kuanzia kwasababu zinabadilika sana fashion na za zamani zikibaki huna pa kupeleka.

Kanda ya ziwa wanaangalia zaidi bei kuliko ubora. Kama upo kanda hiyo pambana na bidhaa za bei rahisi utauza sana.

Maeneo mengine kama Dodoma Singida Tabora wao biashara ni za msimu zaidi hivyo unapaswa kununua bidhaa kulingana na wakati mfano: Dodoma vyuo vikifungwa hali ya biashara huwa ngumu kidogo, Tabora na Singida wakati wa mavuno biashara inachangamka zaidi.

Kanda ya kisini kama ilivyo kanda ya Kati inategemea zaidi Kilimo hasa Korosho, ufuta na mbaazi
Ukiwa na mzigo wakati wa mavuno biashara huwa nzuri zaidi, mazao yakipungua na biashara hupungua.

Nimeyasema haya (kwakuwa sijui mkoa ulipo) yakusaidie kufanya tathmini ya mtaji, wakati sahihi wa kuanza kuchagua bidhaa za kuanzia na kujiandaa kwa changamoto pindi biashara inaposhuka.

Kila la kheri mkuu!
 
Ushauri wako ni mzuri na umenyooka, utanisaidia sana kufikia malengo yangu. Swali la mwisho ni kwamba, je, biashara hii iko vizuri??
 
065 773 8264
Mchek huyo anauza accesories jumla
Kama hana unazohitaj mwombe connection
 
Br kwa ushauri tu inabidi uwe na mafundi wa uhakika hapo mbele ya frem .

cha pili mchawi kodi ya nyumba unapoanzia na kodi kubwa hivyo maamb
hayajachangmka maana biashara huwa inajitafta kwa mda

uko tayari kulipia free baadh ya miez ikiwa inajitftia soko
Mwanzoni sio mbaya sana maana nataka nianze na biashara nyingine pembeni
 
Mkuu
Poleni na majukumu wakuu.

Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.

Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories. Na vitu ambavyo ninataka kuanza navyo ni kama ifuatavyo;

Kodi ya frame (hii ni 80k kwa huku nilipo)
Viti 2 vya plastiki ( kwa ajili ya matumizi ya ofisi)
Meza ya aluminium
Makava ya simu
Screen protectors
Chargers
Headphones
Earpods
Memory cards
Flash discs
Battery za simu
USB's
TRA (100k)
Jiji
Visimu vidogovidogo.

Naombeni muongozo wakuu kuhusu kutosheleza kwa mtaji, lakini pia sehemu ya kupata mzigo kwa kariakoo maana mimi nipo mkoani.

Mungu awabariki.
 
Poleni na majukumu wakuu.

Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.

Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories. Na vitu ambavyo ninataka kuanza navyo ni kama ifuatavyo;

Kodi ya frame (hii ni 80k kwa huku nilipo)
Viti 2 vya plastiki ( kwa ajili ya matumizi ya ofisi)
Meza ya aluminium
Makava ya simu
Screen protectors
Chargers
Headphones
Earpods
Memory cards
Flash discs
Battery za simu
USB's
TRA (100k)
Jiji
Visimu vidogovidogo.

Naombeni muongozo wakuu kuhusu kutosheleza kwa mtaji, lakini pia sehemu ya kupata mzigo kwa kariakoo maana mimi nipo mkoani.

Mungu awabariki.
Mkuu tuwasiliane
 
Back
Top Bottom