Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
Ongeza hela ifike 15m ndo uagize hizo gari ulizotaja otherwise agiza BAJAJ
Msimtishe nimeagiza gari itafika Dar tarehe 14 next month CIF 2000 USD ya mwaka 2005 means what ,,, nitalifa ushuru 2200 USd taxes.. na clearance nitalipa 250000 tzs kwa walmax clearing aget.. local charges hazizid 1m piga hesabu kwa exchange rate ya 1 usd = 1650 tzs.. Mil 10 inatosha ndugu ya ngu pesa inabaki .. wasikuvunje moyo

Mkuu umeagiza kupitia kampuni gani? Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux-Double Cab unaweza nipa mwanga kidogo mkuu!Msimtishe nimeagiza gari itafika Dar tarehe 14 next month CIF 2000 USD ya mwaka 2005 means what ,,, nitalifa ushuru 2200 USd taxes.. na clearance nitalipa 250000 tzs kwa walmax clearing aget.. local charges hazizid 1m piga hesabu kwa exchange rate ya 1 usd = 1650 tzs.. Mil 10 inatosha ndugu ya ngu pesa inabaki .. wasikuvunje moyo
Dada Tiba kama una uzoefu...nisaidie mdogo wako...Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux Double Cab if possible nipe uzoefu wa kampuni ambayo ni reliable na bei zao ni standard..I mean fair! Samahani kama nitakukwaza.Hapana Bwana acha kumtisha, kwa 10m hizo gari alizozitaja mbona anapata gari Bwana?
Tiba
Sasa mkuu Arusha ndio kuna kiwanda cha magari au mambo ya pori porini?Mkuu kama upo arusha ni pm
Mkuu umeagiza kupitia kampuni gani? Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux-Double Cab unaweza nipa mwanga kidogo mkuu!
Mkuu umeagiza kupitia kampuni gani? Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux-Double Cab unaweza nipa mwanga kidogo mkuu!
Japanese Used Cars | BE FORWARD ila mimi nilinunulia kampuni hii Japanese used cars. | tradecarview.com lakini zote zilko poa... chamsingi angalia mwaka walau 2004 ili usilipe kodi ya uchakafu.. pia price isizidi USD 600 ili upate 2000 USD walau mpaka dar maana 600 ukiweka na freight na inspection na insurance inafika 2000 USD......gari ni za kumwaga ukishindwa nifahamishe
Wadau sijawahi kumiliki gari ila sasa nimejikusanya nikapata milion 10, naomba msaada nataka kuagiza gari lakini nina wasiwasi kama kiasi hicho kitatosha hadi kutembea barabarani. Gari ninayo plan ni raum, ist na spacio.
Naomba ushauri kati ya hizi ipi naweza kuipata kwa kiasi hicho cha pesa na kama kuna aina nyngne mwaweza kunishauri.
Ongeza hela ifike 15m ndo uagize hizo gari ulizotaja otherwise agiza BAJAJ
Toyota Hilux D/Cab iko buy sana ukiagiza. NiDada Tiba kama una uzoefu...nisaidie mdogo wako...Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux Double Cab if possible nipe uzoefu wa kampuni ambayo ni reliable na bei zao ni standard..I mean fair! Samahani kama nitakukwaza.
Sipati picha siku ukiipata hiyo gari
Mkuu hiyo RAV 4 NI Aina gani na Tsh Ngapi?,sspecification please....mkuu yategemea kwa shughuli ngani unaitaji?kama kwa ajili ya family na zuri kwa hali ya barabara zetu na spear zake zinapatikana kwa urais basi chukua Toyota noah model98 na kama kwa kazi ngumu za barabara za mjini na vijiji ,chukua rav 4 au kwa ajili ya fuel economical chukua vitz au passo au raum. kama,utaitaji hizi gari .tuwasiliane whatsaap 0713 95 92 90