Msaada: Nataka kununua gari

Msaada: Nataka kununua gari

Ongeza hela ifike 15m ndo uagize hizo gari ulizotaja otherwise agiza BAJAJ

wapi wewe!! inapata kabisa, yani watu kukatisha tamaa! Inategemea gari Ina status gani, usimkatishe tamaa mpe means ya kuweza kupata.
 
Msimtishe nimeagiza gari itafika Dar tarehe 14 next month CIF 2000 USD ya mwaka 2005 means what ,,, nitalifa ushuru 2200 USd taxes.. na clearance nitalipa 250000 tzs kwa walmax clearing aget.. local charges hazizid 1m piga hesabu kwa exchange rate ya 1 usd = 1650 tzs.. Mil 10 inatosha ndugu ya ngu pesa inabaki .. wasikuvunje moyo

asante manake watu kwa kuvunja moydn
 
Msimtishe nimeagiza gari itafika Dar tarehe 14 next month CIF 2000 USD ya mwaka 2005 means what ,,, nitalifa ushuru 2200 USd taxes.. na clearance nitalipa 250000 tzs kwa walmax clearing aget.. local charges hazizid 1m piga hesabu kwa exchange rate ya 1 usd = 1650 tzs.. Mil 10 inatosha ndugu ya ngu pesa inabaki .. wasikuvunje moyo

Mkuu, tupe ufahamu na sisi wengine. Ni gari aina gani na umenunua kampuni gani? Pls, utuwekee na wavuti wao hao jamaa.
 
Msimtishe nimeagiza gari itafika Dar tarehe 14 next month CIF 2000 USD ya mwaka 2005 means what ,,, nitalifa ushuru 2200 USd taxes.. na clearance nitalipa 250000 tzs kwa walmax clearing aget.. local charges hazizid 1m piga hesabu kwa exchange rate ya 1 usd = 1650 tzs.. Mil 10 inatosha ndugu ya ngu pesa inabaki .. wasikuvunje moyo
Mkuu umeagiza kupitia kampuni gani? Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux-Double Cab unaweza nipa mwanga kidogo mkuu!
 
Hapana Bwana acha kumtisha, kwa 10m hizo gari alizozitaja mbona anapata gari Bwana?

Tiba
Dada Tiba kama una uzoefu...nisaidie mdogo wako...Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux Double Cab if possible nipe uzoefu wa kampuni ambayo ni reliable na bei zao ni standard..I mean fair! Samahani kama nitakukwaza.
 
Mkuu umeagiza kupitia kampuni gani? Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux-Double Cab unaweza nipa mwanga kidogo mkuu!

http://www.beforward.jp ila mimi nilinunulia kampuni hii Japanese used cars. | tradecarview.com lakini zote zilko poa... chamsingi angalia mwaka walau 2004 ili usilipe kodi ya uchakafu.. pia price isizidi USD 600 ili upate 2000 USD walau mpaka dar maana 600 ukiweka na freight na inspection na insurance inafika 2000 USD......gari ni za kumwaga ukishindwa nifahamishe
 
Mkuu umeagiza kupitia kampuni gani? Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux-Double Cab unaweza nipa mwanga kidogo mkuu!

opps kwa Hilux double cab ni agali kidogo... na intagemea ya mwaka gani lakini angalia web nilizokupatia
 
Wadau sijawahi kumiliki gari ila sasa nimejikusanya nikapata milion 10, naomba msaada nataka kuagiza gari lakini nina wasiwasi kama kiasi hicho kitatosha hadi kutembea barabarani. Gari ninayo plan ni raum, ist na spacio.

Naomba ushauri kati ya hizi ipi naweza kuipata kwa kiasi hicho cha pesa na kama kuna aina nyngne mwaweza kunishauri.

Hiyo gari zote unaweza kupata kwa bei hiyo na hata kwa bei pungufu ya hizo.
Epuka matapeli na wanaokatisha wengine tamaa. Tuwasiliane nikiwezeshe kupata moja ya gari hizo.
Sasahivi gari popular kati ya ulizotaja ni IST.
 
Ongeza hela ifike 15m ndo uagize hizo gari ulizotaja otherwise agiza BAJAJ

Kuna watu wanajifanya wajuaji kumbe ndo wapigwaji! Raum na SPACIO Mil 15?
yaani ulivyopigwa ww ndo na wenzio wapigwe hivyo?
 
Dada Tiba kama una uzoefu...nisaidie mdogo wako...Mimi nataka kuagiza Toyota Hilux Double Cab if possible nipe uzoefu wa kampuni ambayo ni reliable na bei zao ni standard..I mean fair! Samahani kama nitakukwaza.
Toyota Hilux D/Cab iko buy sana ukiagiza. Ni
pm tuongee zaidi
 
naombeni ushauri nataka kununua gari toyota passo, naomba kwa anayejua bei yake,ulaji wa mafuta kwa km 1, durability yake na spea part zake zipo? nisaidieni kujua hayo niliyouliza
 
mkuu yategemea kwa shughuli ngani unaitaji?kama kwa ajili ya family na zuri kwa hali ya barabara zetu na spear zake zinapatikana kwa urais basi chukua Toyota noah model98 na kama kwa kazi ngumu za barabara za mjini na vijiji ,chukua rav 4 au kwa ajili ya fuel economical chukua vitz au passo au raum. kama,utaitaji hizi gari .tuwasiliane whatsaap 0713 95 92 90
Mkuu hiyo RAV 4 NI Aina gani na Tsh Ngapi?,sspecification please....
 
Back
Top Bottom