Duh pole Sana, ni ngumu kupata kazi Ya Udaktari huko mkuu, labda vibarua tu Kazi za Udaktari wamezishika Sana Waingereza na Wa Canada, halafu wana wadharaua Sana ma Dr wenye professional za Africa.Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,
Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,
Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende New Zealand kutafta Maisha ya juu zaid
Nataka nikifika nisake ajira hasa za udaktari
Alafu kila senti ntakayopata natuma nyumbani
Naomba ushauri wenu,
Wa wapi ulipo ubalozi wao,
Pili kama kuna anayejua njia ya shortcut kutoka hapa Tanzania anijuze,
Sasa hivi NZ wametight sana immigration. Wananchi wamekuja juu sana. Ni ngumu sana kuingia NZ hasa kutoka 3rd world countries. Ila kama una dollar za kimarekani laki tano na zaidi watakukaribisha haraka sana tena kwa kukunyenyekea.Duh pole Sana, ni ngumu kupata kazi Ya Udaktari huko mkuu, labda vibarua tu Kazi za Udaktari wamezishika Sana Waingereza na Wa Canada, halafu wana wadharaua Sana ma Dr wenye professional za Africa.
Nchi nzuri nakushauri uende Luxembourg,Newzealand iko poa Sana Kama huchagui kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,
Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,
Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende New Zealand kutafta Maisha ya juu zaid
Nataka nikifika nisake ajira hasa za udaktari
Alafu kila senti ntakayopata natuma nyumbani
Naomba ushauri wenu,
Wa wapi ulipo ubalozi wao,
Pili kama kuna anayejua njia ya shortcut kutoka hapa Tanzania anijuze,
3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea
Wamebadilisha immigration policy laws from january 2018 zimekuwa tight na restrictive.
Hahahaha aisee nimecheka sana hapo mwisho,Nenda Japan mkuu
Tafuta mwenyej wauza magari wale tradecar view omba wawe wenyeji
Then omba visa ya muda mfupi, ukifika tafta ajira fasta , Japan na Korea Kusin Kujua tu kingereza ajira njenje mkuu. Source uchunguz wangu binafs.
Ukipata ajira muombe muajir wako akuombe work permit na utabadilisha visa ukiwa hukohuko Japan.
Mtu atayefuata mbinu hizi zangu akifika Japan, asinisahau mm nakosa nauli tu mkuu.
Hivi Namibia kuna kitu gani cha maana kinawapa hadhi hivyo?
Zilongwa mbali, zitendwa mbali. Ulichosema sio uhalisia.Nenda Japan mkuu
Tafuta mwenyej wauza magari wale tradecar view omba wawe wenyeji
Then omba visa ya muda mfupi, ukifika tafta ajira fasta , Japan na Korea Kusin Kujua tu kingereza ajira njenje mkuu. Source uchunguz wangu binafs.
Ukipata ajira muombe muajir wako akuombe work permit na utabadilisha visa ukiwa hukohuko Japan.
Mtu atayefuata mbinu hizi zangu akifika Japan, asinisahau mm nakosa nauli tu mkuu.
Kwa macho yangu haya. Nilishashuhudia Dr. Akinywa visa kwenda New Zealand. Kwa macho yangu.Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,
Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,
Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende New Zealand kutafta Maisha ya juu zaid
Nataka nikifika nisake ajira hasa za udaktari
Alafu kila senti ntakayopata natuma nyumbani
Naomba ushauri wenu,
Wa wapi ulipo ubalozi wao,
Pili kama kuna anayejua njia ya shortcut kutoka hapa Tanzania anijuze,
Jamaa nimemsoma anachukulua rahisiZilongwa mbali, zitendwa mbali. Ulichosema sio uhalisia.
Ili utumie kiingereza chako Japan, inabidi uwe mwalimu wa English. Na Kama English sio your first language, sidhani kama utapata visa.
Ili ualikwe kule na wenye makampuni ya magari lazima uwe na mkwanja mrefu. Na usisahau hakuna mjapan atakualika ukaishi nyumbani kwake. Vyumba vyao vyenyewe haviwatoshi. Na huwezi ukapangishiwa Nyumba Kama huna kitambulisho cha Manispaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jon Stephano aka Copenhagen. Nilishayapitia hayo maisha. Nilipiga kazi kwenye viwanda vya kutengeneza vitabu kule Japan. Dah! Unapiga mzigo kwenye mashine na ukikosea taa ya kumulimuli inawaka kwako, halafu watu wote wanabaki kukushangaa.Jamaa nimemsoma anachukulua rahisi
Dah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.Jon Stephano aka Copenhagen. Nilishayapitia hayo maisha. Nilipiga kazi kwenye viwanda vya kutengeneza vitabu kule Japan. Dah! Unapiga mzigo kwenye mashine na ukikosea taa ya kumulimuli inawaka kwako, halafu watu wote wanabaki kukushangaa.
Vibibi vizee, vinapiga kazi mpaka unaona aibu. Halafu anakuja boss mkuu anaanza kuokota makaratasi yaliyodondoka chini. Wajapani bwana. Dah hayo maisha.
Tunakushanya hela kwa bidii halafu tunaenda kushindana na wanaigeria kufukuzia madem. Hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani sana nikaishi Hokkaido japanDah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.
Bado unaishi huko?