Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Wastaarabu unadhani ni kama nyie wagaigai wa Kizimkazi3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea