Msaada nataka kwenda Auckland New Zealand kutafuta life

But ukiwa na mwenyeji Japan Visa yao ni rahisi sana sana isipokua utamaduni wao tu unawafanya kutoingiliana sana kimahusiano na blacks!! Na ukiwa resident wa first world ndo kabisaa unaingia kama chooni. Binafsi nimezurula sana Tokyo kilichonishinda ni vyakula vyao tu!!

Kuhusu mademu pole sana hao wamewaponza na kuwarudisha nyuma watu wengi sana!!
Mkuu wanapenda hela Kama wa kwetu huku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,namibia ni nchi nyingne,kwanza population yao haizid mil4 nchi nzima,wana maisha kama ulaya,..nna ndugu yangu ni Dr kule hatak hata kuskia Tz,mshahara wake ni 24mil za kibongo,

Kule ukizaa kilema unalipwa,mzee analipwa,yaan wa namibia kiukwel wamejitahid sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tupo 55m na tumeambiwa tufyatue wa kutosha
 
3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea
Kwanini tuhangaike huko wacha tuboreshe vijiji vyetu...ambavyo tunapishana na twiga pundamilia and so forth
 
3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea
unafikiria kwa nini hizi nchi ulizozitaja ni ndizo zenye strong passport kwa hapa Africa?NZ NI KUZURI MNO na good luck kwa anayetaka kuingia ndani ya KIWI LAND
 
Duh pole Sana, ni ngumu kupata kazi Ya Udaktari huko mkuu, labda vibarua tu Kazi za Udaktari wamezishika Sana Waingereza na Wa Canada, halafu wana wadharaua Sana ma Dr wenye professional za Africa.
Nchi nzuri nakushauri uende Luxembourg,Newzealand iko poa Sana Kama huchagui kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
daah hako ka luxembourg huwa nakaangalia kwa jicho la tatu
 
Mkuu,namibia ni nchi nyingne,kwanza population yao haizid mil4 nchi nzima,wana maisha kama ulaya,..nna ndugu yangu ni Dr kule hatak hata kuskia Tz,mshahara wake ni 24mil za kibongo,

Kule ukizaa kilema unalipwa,mzee analipwa,yaan wa namibia kiukwel wamejitahid sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
ok hii pia nitaiangalia kwa jicho la pili
 
Lakini vipi kuhusu kukomaa hapa hapa bongo!Kwa sababu, mara nyingi mazingira maskini yana fursa nyingi sana kuliko nchi zilizoendelea.

Namanisha, huku bongo unaweza hata kufuga kuku, kulima bustani, kuanzisha viwanda vidogo vidogo nk, tofauti na ukiwa huko Ulaya.

Mimi nilipokuwa chuo kikuu nilianza harakati za kwenda majuu nikiamini ndo kuna maisha. Kwa bahati nzuri strategies zangu zilifeli.

Nikaona isiwe shida, nikaamua kuanzisha harakati za kutafuta pesa humuhumu bongo, ili nikipata hela nyingi najua ntakwenda Ulaya kutembea na kurudi. Sidhani nikiwa na hela ya kutosha ntanyimwa visa ya kwenda kutembea.

Unajua, nilichojifunza, kwa sasa jamani hapa TZ maendeleo yanazidi kushamiri vijijini, na huko ndiko kuna fursa nyingi ambazo ni ngeni lakini zimezoeleka mijini. Kule kijijini unaweza kuanzisha, ufugaji au kilimo cha kisasa, ukafungua steshenari kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari za kata, usafirishaji ndiyo kabisaa unapiga hela mfano ukiwa na kigari kidogo tu kama Noah, Ukanzisha kiwanda cha welding, ukanzisha video shooting, ukafungua studio ya kurekodi miziki, ukanzisha maduka ya bidhaa za kichina, ukanzisha glosari au bar, mabanda ya chipsi nk. NB; Siyo vijiji vyote vina fursa tajwa hapo juu.

Tujifunze kitu;

Ilikuwaje wazungu wengine walitoka Ulaya na kuja kutafuta fursa Afrika katika karne 19? Inasemekana hao wazungu wengine walikuwa jobless na maskini huko Ulaya, hivyo Afrika ilikuwa ni sehemu comfortable kwao kuukimbia ubebari Ulaya.

Ni kwa nini wazungu hao walikubali kuja Afrika na siyo kukimbilia nchi nyingine za Ulaya? Jibu; Ukiachilia mbali ishu ya rasilimali, wazungu wengine walikuja Afrika kwa kuwa lilikuwa ni bara lenye maisha ya kimaskini kwa hiyo fursa zilikuwa ni nyingi sana.

Hivyo, tuzitoe fursa mijini na kuzipeleka vijijini tupate hela na maisha yaendelee. Ukipata hela unaweza kurudi mjini tena. Wewe wa mjini ukienda kule kijijin utabaki unashangaa maisha yalivyo cheap. Mjini unalipa kodi ya nyumba elfu 75 kwa mwez lakini kijijin utalipa elfu 10. Hautabweteka kukaa kijijini kwa sababu wewe unajua kilichokupeleka huko.

Twendeni tukazitumie fursa vijijini humu Tanzania na siyo kwenda kutafuta ajira Ulaya.

Unapiga hela gani uko kijijini pesa ya kula au kukutoa kimaisha hapa watu hawaongelei pesa ya kula boss wanataka pesa yakupeleka familia mbugani Serengeti holiday, hizi fursa unazosema vijijini jijini kipi kumbuka kijijini population ni ndogo kwaiyo usitegemee mzunguko wa pesa ukawa mikubwa ukafanya utoboe pengine udeal na kilimo siyo hizi sijui stationary
 
Mkuu, comment yako ni ya kufikirisha sana, asante!

Nilipoisoma ikanikumbusha story ya mwanzilishi ya kampuni ya viatu, Bata. Kampuni hii ili anzishwa huko Sri Lanka wakati wa ukoloni. Biashara ilipo anza kudorara, Bossi akatuma masalesmen wawili Afrika, ili kupeleleza hali ya biashara. Salesmen wote wawili wakaja wakafanya utafiti ya masoko, na wakapeleka matokeo ya research yao kwa bosi.

Salesman wa kwanza, alisema "Bosi hapa watu ni maskini sana, hata hawana viatu miguni. Uwezo wao wa kununua vitu ni mdogo mno, hapa hamna fursa ya biashara!"

Salesman wa pili naye akapeleka ujumbe: "Bosi, watu ni maskini sana, lakini naona kuna fursa ya kuwauzia kandambili na viatu vya raba ya bei nafuu! Nitumie kanda mbili tuanze biashara hapa!

Kandambili ziliuzika kwa fujo, na viatu vya aina nyingine zikashika kasi. Bata wakafungua kiwanda Kenya na wanachota hela mpaka leo!

Kwa hiyo ulichosema ni kweli. Fursa zipo lakini hatuna vision ya kuziona, na ndio maana tunakimbilia Ughaibuni!

Lakini vipi kuhusu kukomaa hapa hapa bongo!Kwa sababu, mara nyingi mazingira maskini yana fursa nyingi sana kuliko nchi zilizoendelea.

Namanisha, huku bongo unaweza hata kufuga kuku, kulima bustani, kuanzisha viwanda vidogo vidogo nk, tofauti na ukiwa huko Ulaya.

Mimi nilipokuwa chuo kikuu nilianza harakati za kwenda majuu nikiamini ndo kuna maisha. Kwa bahati nzuri strategies zangu zilifeli.

Nikaona isiwe shida, nikaamua kuanzisha harakati za kutafuta pesa humuhumu bongo, ili nikipata hela nyingi najua ntakwenda Ulaya kutembea na kurudi. Sidhani nikiwa na hela ya kutosha ntanyimwa visa ya kwenda kutembea.

Unajua, nilichojifunza, kwa sasa jamani hapa TZ maendeleo yanazidi kushamiri vijijini, na huko ndiko kuna fursa nyingi ambazo ni ngeni lakini zimezoeleka mijini. Kule kijijini unaweza kuanzisha, ufugaji au kilimo cha kisasa, ukafungua steshenari kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari za kata, usafirishaji ndiyo kabisaa unapiga hela mfano ukiwa na kigari kidogo tu kama Noah, Ukanzisha kiwanda cha welding, ukanzisha video shooting, ukafungua studio ya kurekodi miziki, ukanzisha maduka ya bidhaa za kichina, ukanzisha glosari au bar, mabanda ya chipsi nk. NB; Siyo vijiji vyote vina fursa tajwa hapo juu.

Tujifunze kitu;

Ilikuwaje wazungu wengine walitoka Ulaya na kuja kutafuta fursa Afrika katika karne 19? Inasemekana hao wazungu wengine walikuwa jobless na maskini huko Ulaya, hivyo Afrika ilikuwa ni sehemu comfortable kwao kuukimbia ubebari Ulaya.

Ni kwa nini wazungu hao walikubali kuja Afrika na siyo kukimbilia nchi nyingine za Ulaya? Jibu; Ukiachilia mbali ishu ya rasilimali, wazungu wengine walikuja Afrika kwa kuwa lilikuwa ni bara lenye maisha ya kimaskini kwa hiyo fursa zilikuwa ni nyingi sana.

Hivyo, tuzitoe fursa mijini na kuzipeleka vijijini tupate hela na maisha yaendelee. Ukipata hela unaweza kurudi mjini tena. Wewe wa mjini ukienda kule kijijin utabaki unashangaa maisha yalivyo cheap. Mjini unalipa kodi ya nyumba elfu 75 kwa mwez lakini kijijin utalipa elfu 10. Hautabweteka kukaa kijijini kwa sababu wewe unajua kilichokupeleka huko.

Twendeni tukazitumie fursa vijijini humu Tanzania na siyo kwenda kutafuta ajira Ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaotaka kwenda nje ukiona gharama inafika 7M nitafute tupange nikupe idea yaani huo ni mtaji tosha.
 
Huyu anyejiita Jon Stephano ni mpotoshaji msimsikilize ushauri wake, angalia hata nchi anazoshauri eti watu waende.

Japan sio nch ngumu kuingia na mashart yao visa ni nafuu, google urself japan visa tanzania.

Halafu wajapan wana roho za kusmile kama wazungu, hawana ubaguz wa kijinga kama wachina.
 
Kujua kingereza ni business level tu unapata kazi kirahis japan, kuna makampuni mengi yanatafuta masupervise wanajua kingereza kwa ajili ya mawasiliano na wateja wa kimataifa, wajapan na wakorea wao wenyewe hawana muamko na kingereza kabisa!

Ukijua kingereza kwa level ya kua mualimu ya kinative speaker ndio unakula bata kabisa!
 
Back
Top Bottom