Msaada nataka kwenda Auckland New Zealand kutafuta life

We jamaa naomba nikupe credit maana umeandika kitu nachokifikiria kila siku nipo kwenye harakati za kuhamia pande hizo kufanya mishe zangu.
 

Mil24?
Namibia wanatumia dollar ya kwao na Rand ya SA. Ambayo ni Equivalent na 170/80 ya Tsh. Ni vigumu kukuta mtu analipwa hiyo pesa Namibia landa CEO wa kampuni kubwa. Ila kwasababu umesema Dr. Labda.

Kwangu nadhani hawa jamaa na jirani zao wanapata free visa nchi kubwa kutokana na sheria zao za uhamiaji zipo tight saana. Ukilinda chako mwenzako anaweza kukuamini utaweza kulinda chake.

-kuhusu kuishi kama Ulaya sio kivile ila kwa miundo mbinu wametuacha mbali. Ni jangwa ila maji sio shida. Umeme nao sio kama kwetu..barabara ndiyo usiseme.
 
Sisi tunashindwa wapi?????? Barabar inajengwa miez 12,inatumika miez3 inatoka matuta kama ya kulimia viazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kuna wakati nafkia hats najuta kwa nn ckuzaliwa nchi yeyote ndani ya ulaya
Ukiweza kupambana ukapta visiting visa ya Ireland na after that ukapata kazi yan hapo umaskini bye bye
Shida SSA inatakiwa upate kazi utakyolipwa euro 30000 -60000 kama we ni foreigner from non E U ukipga hesabu apo ni ml700 za bongo
Na sasa hiv 1euro-2651tsh piga hesabu mwenywe
Tax kwa foreigners ni 40% of ur salary visa 120 euro flight kwa KLM kupitia dar $1457 hotel unaenda za bei cheap pavilion hostel tsh27500 per night kazi kwako sasa ndani ya miezi 3 upate kazi inayoendana na policy za kule
Habar za kubeba box kule hamna ucpo pata kazi ambayo utalipwa euro 30000-60000 no work permit u go home

And work permit tusijidanganye unaweza kujilipia mwenywe au muajiri wako alafu next time mnakatana kwenye mshahara
Siri kubwa ni kijua kiingereza tu LA sivyo hutaweza kupata kazi yeyote ndani ya Ireland

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli unajua pia siyo watu wote wanaweza kuziona fursa pia hata wachache wanabahatika wanakutana na changamoto ya kuzitumia ila kweli vijijini fursa zipo nyingi sana sema mitatazamo yetu na rasilimali za kutuwezesha kuzitumia fursa ndo tatizo lilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uki convert hapo inakuja Tsh mil 70 na ushee and not mil 700 boss.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu,Mimi kila siku najutiaga kwanini nlizaliwa kwenye hii nchi,najisikia vibaya mno
 
3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea
Kuna siku niliongea hili watu wananiita mjinga. Hivi unajua watu wa Mauritius wanaenda uingereza bila visa ? Halafu Mrusi anatakiwa aombe visa. Hivi watanzania tunashindwaje ?
 

,๐Ÿ‘†๐Ÿฟ๐Ÿ‘†๐Ÿฟ Bata haikuwa kampuni ya Siri Lanka
 


Jamaa nimemsoma anachukulua rahisi

Dah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.

Bado unaishi huko?

Mkuu nakushauri nenda East Timor, Bangladesh na Central Africa Republic yani kuna fursa za kumwaga

Ndio mkuu acha porojo changamkia fursa hapo CAR na Southern Sudan


adriz
 
Endelea kuperuzi online. Waweza pata ajira kama HIGH SKILLED WORKER.
Zipo site za hayo mambo.
All the best mkuu
 
Kwanini unakimbia Bongo!?

Badala tuungane wote tukin'goe chama kwenye sanduku la kura tuboreshe maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ