Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Wastaarabu unadhani ni kama nyie wagaigai wa Kizimkazi3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea
Nyau de adriz
Utafeli tu tena wew maarassOya Jombis ngoja nimalize mtihani nimeandaa uzi mmoja mtata sana wa kukuabisha
Nakuambiaje Jombis , Mimi siogopi chochote katika maisha sio umasikini , kushindwa wala stress bali ninachohofia sana ni kufa hali ya kuwa Kaafir na namuonba Allaah nife hali ya kuwa Muislamu na katika mwisho mwema , Aamiyn.Utafeli tu tena wew maarass