prettykind21
Member
- May 16, 2023
- 99
- 164
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakaz serikalini na mimi ni mke wa ndoa tuna watoto wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Wakisema wakupe Elfu 50, potezea Mm nitatoa
This is abuse Watoto wanakula kama Mchwa 😊👋Nenda kwa bosi wake ongea nae
Kisha nenda ustawi
Sheria zetu hazimlindi mwanamke na mtoto asa huko ustawi waseme 50 inatosha nin?? Na watoto wanakula kama mchwa
💯Pambana lea mwanao, achana nae.
Ushawahi ona jogoo analea vifaranga? Wanaume hawaleagi, its nature....atahudumia mtoto Kama na wewe unamuhudumia, Kama uko tayari kufata matumizi ya mtoto guest endelea kumsumbua, Kama unajali utu wako pambana mwenyewe.....mlezi mkuu ni Mungu, mtoto atakua tu bila yeye.
Angalizo, akileta matumizi usikatae na usimlishe mtoto sumu kumuhusu.
Weee mim nnae hapa muda wote mdomo unatafuna unataka kulaThis is abuse Watoto wanakula kama Mchwa 😊👋
Kama ni kweli ulichoandika basi huyu mwanaume atakuja kupata shida sana huko mbele ya maisha yake.. wanaume wengi tunaishi na laana za wanawake tuliowazalisha na kuwatelekeza.. nimejifunza sana kwa mshua wangu anaishi maisha ya kujuta na kulalamika kila siku..Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?