nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Mkuu, hujakutana na wanawake wajeuri, unakuta mwanamme anapambana, anasomesha halafu mwanamke anakuwa na jeuri, kiburi hataki kuwapeleka watoto upande wa pili wakawafahamu ndugu zao wengine.Hivi mwanaume rijali mwenye akili timamu na una uwezo,unawezaje kuitelekeza damu yako?
Mwanamke kama huyu adhabu ya tsh. 50k kwa mwezi ni haki yake.