Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Ujinga upi nimemjaza we kuku.
Tatizo lenu mnapenda sana mwanamke akiteseka. Apambane mwenyewe anaweza. No more kulialia maana haisaidii.
Ujinga huu hapa:⬇️⬇️
Baadae watoto wakipata mafanikio utamuona huyo anajileta kama baba Mondi. Na hiyo ndo Itakuwa adhabu yake.

Ukiwa binadamu akili yako inafikria vizuri kabisa, huwezi kuwaza kuwa mafanikio niya watoto tu... Et adhabu yake; Who are you?

Vipi kama yeye na mwanaye wasipopata mafanikio.
Jambo la kufanikiwa au kutokufanikiwa siyo jambo la kumtisha mtu.

Think Big
 
Wanawake ni viumbe wachekeshaji sana.Hata umlee vipi yeye na mtoto hakawii kumjaza negativities mtoto hadi baba uonekane nyang'au.They're capable and have the highest techniques to corrupt the kids!Ndiyo yaleyale maneno yaliyoandikwa kwenye guta.
"NATAFUTA HELA ZA KUWATUNZA WATOTO WANGU (PAMOJA NA MAMA YAO)ILI BAADAYE WAUUIMBIE ULIMWENGU NANI KAMA MAMA"!😂😂😂😂
 
Hakuna sehemu umeomboleza upewe msaada.Unachopaswa kukielewa ni kwamba,mbebe majukumu.Wewe siyo gudulia la kubeba tu mtoto tumboni halafu kwenye kulea umsakizie mwanaume achukue majukumu yote.Siyo kwa dunia hii.Badilikeni na siyo kubwekabweka kwa umma looking for sympathy.Mtoto atunzwe na wote.Ukilikoroga kwa mzazi mwenzio kabiliana na changamoto zako.
NB:Siyo kila unayebadilishana miandiko JF ukamkadiria umri utakavyo.Hata kuuza mawese karibu nastaafu.
Uliona wapi mwanamke akamsakizia mwanaume majukumu yote.
Hivi hua mnaongea tu kubeba mtoto tumboni hivo tu ni swala la kutoa heshima kubwa.
Usichukulie mambo poa.

"Uwe na umri mkubwa uwe nao wa kati au wa chini jitahidi kuwatunza na kuwahudumia watoto wenu"
 
Mimi nahudumia wanaonihusu.Ukisema tusichukulie poa wanawake kubeba watoto tumboni unakwama.Huko ni kutishana kwa haki na majukumu yenu.
NB:Isiandikwe kwenye "hansadi"!Na sisi tukisema tunabeba watoto kwa miaka yote kwenye korodani na hatuliilii mtatuelewa?😂😂😂😂😂
 
Sawa kama nakwama.
Kwenye korodani haitoshi, ukibebeshwa tumboni akili itasogea.
 
Ujinga huu hapa:⬇️⬇️

Ukiwa binadamu akili yako inafikria vizuri kabisa, huwezi kuwaza kuwa mafanikio niya watoto tu... Et adhabu yake; Who are you?

Vipi kama yeye na mwanaye wasipopata mafanikio.
Jambo la kufanikiwa au kutokufanikiwa siyo jambo la kumtisha mtu.

Think Big
Kwahiyo wewe unataka afanyeje? Mshauri wewe mwenye akili. Mimi ushauri wangu ndo huo akitaka afate asipotaka asifate. Neno langu si sheria.

Ila kulialia haitasaidia. Watoto ni wake apambane.
 
Weee mim nnae hapa muda wote mdomo unatafuna unataka kula
Yaan huwa na kaz ya kujipilikisha maandaz au kalimati tofauti na msosi ili apate na vya kula kula wakija wengine hataree
Halaf unapangiwa vya kupika na aina ya juice unapangiwa na kukosolewa juu
Akiii inabidi ukiwa na hamu na juice fulan utengeneze yako na yake utengeneze anavyopenda huwa nachoka mie
Itoshe kusema hayo ni malezi mabaya. Hao ndio watoto hukua wakijua maisha ni kupata unachokitaka kila muda, siku akikutana na shida anaenda kujidhuru. Anyways leo mwanao mumy
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Lea wanao dada...chukulia km amekufaaa bhana
 
Eee nenda.....mmezidi kuzaa na Wayne za watu,umegeizwa incubator dada!!!!
hahhaahha we dada nina ndoa jamani ndo maan najiamini sidhani ningezaa na mumewamtu nungekuja huku aseee hata uo ujasiri ningekosa
 
Vipi mtoto akiwa na maisha ya hovyo na baba yake akapata watoto sehemu nyingine akalea vizuri wakawa na mafanikio wakamsaidia. Hapo itakuwaje kwenye hii story yako?! [emoji23][emoji23][emoji23]
aendelee tu si alishaamua. Lakini kwa kawaida huwa baba anapigwa tukio hapa hapa duniani kabla hata kufika huko kwa The Biggest of the biggests!
 
kati ya 2.8 mil upewe 50k una akili kweli kama unaenda kudai pesa hyo bora uache tu..

Pia angalia na uwiano wa watoto wengine kama ni mmoja tu anaye basi angalau upate 250k kwenda mbele.
250k kwa mtoto mmoja,je watoto wangekua 10?
Vipi wale watoto ambao baba zao wanapokea 120k kwa mwezi,wanawahudumiaje watoto?
 
250k kwa mtoto mmoja,je watoto wangekua 10?
Vipi wale watoto ambao baba zao wanapokea 120k kwa mwezi,wanawahudumiaje watoto?
Uwiano wa watoto kwanza wapo wangapi kama ni mmoja sawa 250k ni nzuri ila kama ni wengi hata hyo 50k ni kubwa.
 
Uwiano wa watoto kwanza wapo wangapi kama ni mmoja sawa 250k ni nzuri ila kama ni wengi hata hyo 50k ni kubwa.
Wanaume tuwe makini tu,unayezaa nae,muoe húyohuyo,ukizaa kila mtoto na mama yake,gharama ya utunzaji ni kubwa sana.
 
Wanaume tuwe makini tu,unayezaa nae,muoe húyohuyo,ukizaa kila mtoto na mama yake,gharama ya utunzaji ni kubwa sana.
Nahisi huyu ni kimada na jamaa ana familia yake😅😅ngoja apambane kwanza.
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Ilikuwaje ukampanulia mwanaume wa Tanesco?

Fanya biashara ya Kitimoto utakuja nishukuru baadae!
 
Ukiamua kuzaa zaa ikiwa unahitaji mtoto na si kwa sababu umeona mtu anauwezo wa kulea mtoto.ninachoona hapa ni baba anamshahara mkubwa ko nitapata kila ninachotaka,2.8 ni hela ya kawaida tu ukiweka na makato na majukumu mengine
Je mlikubaliana kuzaa au ulijibebesha mimba?
Kabla ya kwenda huko emu jaribu kuongea naye namna anaweza kumtunza mtoto wake,kuwa mpole shida mnakuwa na ghubu na kutaka kulazimisha mambo mpaka mtu anajuta kuzaa na wewe
 
Back
Top Bottom