prettykind21
Member
- May 16, 2023
- 99
- 164
- Thread starter
- #601
niliolewa na nikazaa nae hapo sijaswma kwamba mshahara mkubwa niko kwenye kujilezea kwamba kwa kipato hata hiko anashindwaje lea watoto wake ata kwa kidogo ye kauchuna tu na nimezaa watoto ndan ya ndoa kwa makubaliano kabisa hata ivo angeleta mahitaji tu tusaidiane asinipe hata mia yake ila alete vitu vya watoto nayo imekuwa ngumuUkiamua kuzaa zaa ikiwa unahitaji mtoto na si kwa sababu umeona mtu anauwezo wa kulea mtoto.ninachoona hapa ni baba anamshahara mkubwa ko nitapata kila ninachotaka,2.8 ni hela ya kawaida tu ukiweka na makato na majukumu mengine
Je mlikubaliana kuzaa au ulijibebesha mimba?
Kabla ya kwenda huko emu jaribu kuongea naye namna anaweza kumtunza mtoto wake,kuwa mpole shida mnakuwa na ghubu na kutaka kulazimisha mambo mpaka mtu anajuta kuzaa na wewe