Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Ndio primarily concern ya Watoto hiyo..wao ni Tumbo tu 🤣wanakula kama Binadam ili wakue sio kama Mchwa 🤣🤣🤣🤣🤣👋Weee mim nnae hapa muda wote mdomo unatafuna unataka kula
Yaan huwa na kaz ya kujipilikisha maandaz au kalimati tofauti na msosi ili apate na vya kula kula wakija wengine hataree
Halaf unapangiwa vya kupika na aina ya juice unapangiwa na kukosolewa juu
Akiii inabidi ukiwa na hamu na juice fulan utengeneze yako na yake utengeneze anavyopenda huwa nachoka mie