Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Ndio primarily concern ya Watoto hiyo..wao ni Tumbo tu 🤣wanakula kama Binadam ili wakue sio kama Mchwa 🤣🤣🤣🤣🤣👋
 

Kama unataka 50k per month hio ata mimi nitakupa, ntakuwa baba wa kufikia wa mtoto! Save your hustle ya kwenda ustawi wa jamii
 
Ndio primarily concern ya Watoto hiyo..wao ni Tumbo tu [emoji1787]wanakula kama Binadam ili wakue sio kama Mchwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112]

Mchwa anatafuna wewe
Ndio hivyo ili mradi uwapikie chakula kingi kuweni cha kutosha sio kuwabania bania
Ila 50 ndogo sana haitoshiii
 
Sii jogoo tu hata simba dume halei watoto ni jukumu la simba jike! Hivi unajua hata simba jike akipata joto anataka dume bsasi kuwinda swala safi na kuohonga simba dume ili apate nguvu za kutosha kumshughulikia jike vizuri? Hata zamani mwanamme alikuwa anaoa wake watatu yeye anajenga tu nyumba na halafu wanawake wanalima chakula chao wenyewe na kuzaa watoto! Hii ndo asili! Sasa huyo baba hata ukumpeleka ustawi kama ana watoto wengine 10 unafikiria wewe utaambulia nini? Komaa tu tafuta riziki!
 

Hakutunza wanae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…