dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Keshakoma tayari😆😆😆Kajikuta mwamba 😅😅
Akipona anasahauKeshakoma tayari😆😆😆
ARV inakuhusuNina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
Aende na aliyemwambukiza kwa daktari/hospitoSindano za power safe plus Azuma unakomesha kabisa.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Unaijua gonorea lakini?Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
Itakuwa tayari umeungwa grid ya taifa.Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?