MSAADA: Natoka usaha na mtambo unawasha sana, dawa yake nini?

Chaputa Oyee

wacha akina Gono na UTI iwale mb<><> izo
 
Nenda hospital mzee....ndo la muhimu huko utapimwa kuonekana ukubwa wa tatizo

Usije jinunulia tu azuma na kumeza hautakua umetatua tatizo nakuambia oohoo we skiliza vijiwe
 
Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
ARV inakuhusu
 
mamaeee umepata gono,sindano zake sio poa utajuta kula kavu kavu
 
Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
Unaijua gonorea lakini?
 
Itakuwa tayari umeungwa grid ya taifa.
 
Back
Top Bottom