Yellow Book yanini tena situlikubaliana Yellow Fever.Yellow book
Mnazi mmoja
Kumbe Yellow Fever ni chanjo kwahiyo wanaingia kwenye gari wanachanja mutuvumilie sie mishamba.chanjo ya yellow fever utaipata border kwa 10,000/=
Dar to Arusha tu ni 33k opMkuu kwanza passport watoto wawe wameandikwa unasafiri nao kwenye passport, yellow fever card muwe Nazo, passport, nauli ni roughly 30,000 maximum.
Migration ya Kenya ipo wapi.Yellow fever card utapata hapo migration ya kenya au ya Tanzania ( no fixed price inategemea na ujanja wako unaweza pata kwa bei rahisi kama mkuu kedekede alivyokuambia hapo juu)
Kuhusu mambo na ubadilishaji wa fedha nakushauri ubadilishie hapo migration office ya kenya ukiingia after kustamp passport yako karibu na exit kuna desk ya kubadilishia fedha wako na currency exchange rates so utacheki kulingana na hiyo siku.
Advantage ya kuchange hapo ni kuwa kwa wakati huo unaingia kenya tayari hata kama ukipata shida njiani ni rahisi kupata huduma so sikushauri ubadilishie Dar es Salaam sababu hauko sure utafika kenya ( sisemi kwa mabaya nazungumzia misukosuko ya safari njiani kuna kuharibika kwa gari ukiwa upande wa Tanzania) otherwise ubadili pesa nusu ya utakayo kuwa nayo then ukifika border unachange tena.
Kama una maswali mengine usichoke kuuliza mkuu, Karibu sana Kenya.
kwahiyo Huku Tanzania mkuuu natoka na pasport yangu tu si ndio mkuu?
Vipi kuhusu wanangu nitakaokuwa nao,je kuna mahtaji mengine ya usafiri nahtaji kuwa nayo? au mimi tu nikiwa na paspot yangu inawabeba na wanangu hawa?
Karibu sana nairobi utaratibu uko hivi kama hauna ile passport kubwa yaani (kitabu) unakata hati ya kusafiria ya dharura zamani walikuwa wanatoa kwa mwaka mzima lakin saiv inatolewa kwa safari moja ukisharudi imexpire hiyo. Yellow fever wanachoma mpakan au hospitali ya mnazi moja hapo dar es salaam wanachoma na wanatoa kadi gharama sikumbuki maana nilichoma mda mrefu sana.Habari zenu ndugu zangu, nilikua naomba mwenye ufahamu wa taratibu za kufata za mtu kutoka Dar kwenda Nairobi ni mahitaji gani yanahitajika ili niweze fanikisha safari yangu.
Nauli ni kiasi gani? Nategemea kusafiri na watoto wangu wawili mapacha kwahiyo sitokuwa mwenyewe.
Watoto wana miaka mi 4, naenda tu kwa ziara fupi ya wiki mbili kisha nitarudi siendi kwa makazi ya moja kwa moja.
Nakaribisha mawazo yenu na ushauri.
Kuuliza sio ushamba mkuu, kawaida gari ikifika border abiria mnashuka na kuingia ofisi za uhamiaji kwa ajili ya ukaguzi na mambo mengine. Kama utakua huna document ya uthibitisho kua una chanjo ya yellow fever kuna jamaa hapo ofisini watakuchanja na kukupa ka document kama kakitabu, unaweza uka katumia katika safari zako zote worldwide.Kumbe Yellow Fever ni chanjo kwahiyo wanaingia kwenye gari wanachanja mutuvumilie sie mishamba.
ambapo na malipo yake yanakua kwa dollar au Tsh mkuu? na unashauri mtu akachome yellow fever pale mpakani au ni vizuri akianza safari akiwa nayo tyr?Kuuliza sio ushamba mkuu, kawaida gari ikifika border abiria mnashuka na kuingia ofisi za uhamiaji kwa ajili ya ukaguzi na mambo mengine. Kama utakua huna document ya uthibitisho kua una chanjo ya yellow fever kuna jamaa hapo ofisini watakuchanja na kukupa ka document kama kakitabu, unaweza uka katumia katika safari zako zote worldwide.
Ndio huko unatoka na passport.kwahiyo Huku Tanzania mkuuu natoka na pasport yangu tu si ndio mkuu?
Vipi kuhusu wanangu nitakaokuwa nao,je kuna mahtaji mengine ya usafiri nahtaji kuwa nayo? au mimi tu nikiwa na paspot yangu inawabeba na wanangu hawa?
Siku moja ukichoma sindano hapo hapo utapewa na kijitabu chakoNi process ya siku kama ngapi mkuu?
Hujui passport inapatikana wapi[emoji15]Mkuu kama nahitaji paspot naweza kwenda kuipata wapi?
Halafu yellow fever card nayo nikiihitaji naipata wapi?
Upatikanaji wa vyote hivyo huchukua muda gani mkuu?
Naomba nikujibu iko hivi hapo border mkifika mnashushwa watu wote kwenye bus na mizigo yenu mliokuwa nayo ndani ya gari kwa ajili ya ukaguzi, mnapanga mabegi yenu kwa mtindo wa foleni halafu polisi wanakua na mbwa anapitia kila begi kunusa kama umebeba MIHADRATI au MADAWA YA KULEVYA baada ya hapo mnakaguliwa na kuingia ndani kwenye scanner then kuna mzee mnene hapo ( sijui kama bado yupo) anakagua yellow fever so kama huna anakudirect kwa dirisha la health hapo ndio unaenda kuchomwa sindano ya yellow fever na malipo utafanya hapo after hapo ndio unaenda kwenye madirisha ya passportAnachomea vipi hapo mpakani hiyo fever na wakati atakuwa kwenye Public Transport.
sawa Mkuu kwa hivyo nilivyoelewa ili nikamilishe hii safari yangu na wanangu natakiwa kukamilisha mahitajiKila mmoja anatakiwa awe na passport yake mkuu, hata hiyo chanjo ya yellow fever kila mmoja atachanjwa kivyake.
Mimi nilichomea mpakani kwa malipo ya Tsh 10,000 na nikitendo cha dakika mbili tuambapo na malipo yake yanakua kwa dollar au Tsh mkuu? na unashauri mtu akachome yellow fever pale mpakani au ni vizuri akianza safari akiwa nayo tyr?
Pia muwe na USD 100 kwa Kila mtu kwa ajili ya kujipima koronaHabari zenu ndugu zangu, nilikua naomba mwenye ufahamu wa taratibu za kufata za mtu kutoka Dar kwenda Nairobi ni mahitaji gani yanahitajika ili niweze fanikisha safari yangu.
Nauli ni kiasi gani? Nategemea kusafiri na watoto wangu wawili mapacha kwahiyo sitokuwa mwenyewe.
Watoto wana miaka mi 4, naenda tu kwa ziara fupi ya wiki mbili kisha nitarudi siendi kwa makazi ya moja kwa moja.
mawazo yenu na ushauri.
hii paspot nitakayokata ya.muda mfupi inadumu kwa.muda gani?Nimeelewa mlolongo wote mtoa mada unaweza niuliza usipoelewa nitakujibu jibu la begginer level.