King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kwa sasa siwezi kuwa wa msaada sana maana ni kitambo tangu nisafiri baina ya hizi nchi mbili, duh halafu nakubali mnavyojiamini, yaani unang'ang'ania kusafiri na watoto ilhali mdudu kolonya amezagaa kote kote.
Kiukweli Kolonya safari hii kuanzia Mwanzoni mwa December mpaka sasa anatunyoosha kwa kweli.