Yes hati ya kusafiria tuu, na ile vaccination card, mimi kipindi hicho nilipata pale Amana Hospital...Ni hati tu ya kusafiria mkuu, hamna zaidi?
Mtu mmoja kuchoma YF inachukua dakika 2 hata mkiwa 20 sawa na dakika 40 tu.hii paspot nitakayokata ya.muda mfupi inadumu kwa.muda gani?
kama sijachoma yellow fever chanjo itabd nikachome pale mpakan, sasa kama mimi sijachoma naamini watakua wengi hawajachoma
mkifika pale haitokua kama.mko hospitali sasa mchukue muda mrefu kusubiri
Money Exchangesawa Mkuu kwa hivyo nilivyoelewa ili nikamilishe hii safari yangu na wanangu natakiwa kukamilisha mahitaji
1.Yellow fever Card (yangu na wanangu)
2.Paspot (yangu na wanangu)
3.Hela ya kutumia ambapo natakiwa kutoka Na Tsh zangu huku Dar (incase of emergence) na nikifika pale mpakani ndipo nita Change Tsh to dollar kwa ajili ya matumizi ya Huko mjini mwa watu nitakapoku
Miaka 5 nyuma it was elfu 10 sijui sasa hivi....Asante mkuuu, na kama natumia bus na sina yellow fever card nitaweza kupita pale mpakani au wakati naenda huwa hamna ukaguzi? Na ni wapi inahitajika hiyo?
Na hii passport ya muda mfupi huwa gharama yake ni kiasi gani mkuu.?
Zimefuatana na ya Tanzania utaangalia bendera ndio utajuaMigration ya Kenya ipo wapi.
Aisee! Na yeye kauchuna kimya,hawezi kutia neno hapamkuu unaenda na watoto kwenye mambo ya DNA nini, maana naskia DNA ya kweli inapatikana NAIROBI KENYA, nenda kathibitishe mkuu maana awa wanawake uwa hawaeleweki kabisa siku izi
Ndiyo hiyo hiyo mkuu ya yellow fever, kale kakitabu ni ka rangi ya njano so ndo maana wanaita yellow book...Yellow Book yanini tena situlikubaliana Yellow Fever.
Passport ni mlolongo mrefu kidogo ingawa kuna madirisha matatu but hapo inatake time kidogo kutokana na kuhojiwa unaenda kufanya nn kenya, fingerprint scanning na kupigwa pichaMtu mmoja kuchoma YF inachukua dakika 2 hata mkiwa 20 sawa na dakika 40 tu.
kushusu passport ngoja waje
Sidhani kama hili linawezekana, nenda mnazi mmoja pale nusu saa tuu tayari...Kumbe Yellow Fever ni chanjo kwahiyo wanaingia kwenye gari wanachanja mutuvumilie sie mishamba.
Pia muwe na USD 100 kwa Kila mtu kwa ajili ya kujipima korona
Mke wangu anakuja Kenya Next Week atafikia kwako basi maana ni mgeni.Kama ni KE na hauna pakufikia njoo inbox
Ahsante sana mkuuMke wangu anakuja Kenya Next Week atafikia kwako basi maana ni mgeni.
Nairobi utakaa nae hapo siku nneAhsante sana mkuu
Anakuja sehemu gani
Usijali mkuu me ni mwaminifu mnoNairobi utakaa nae hapo siku nne
Sawa nitakutumia nimehifadhi ID yako naimani atapata good company na experience nzuri sana.Usijali mkuu me ni mwaminifu mno
Fanya tu nipate namba yake inbox tafadhari
Wewe ni mzoefu wa pande zote mbili mwaga dataKwa sasa siwezi kuwa wa msaada sana maana ni kitambo tangu nisafiri baina ya hizi nchi mbili, duh halafu nakubali mnavyojiamini, yaani unang'ang'ania kusafiri na watoto ilhali mdudu kolonya amezagaa kote kote.